Chakula cha mende ni bora sana kwa afya ya binadamu

Tatizo watu wanakalili maisha wanazania nimejitungia wakati Mimi hapa hii biashara naifanya na inalipa Sana kuliko hata kuku
Mkuu naomba mawasiliano pm natamani kuifanya hiyo kitu pia but sikuwa na pakuanzia
 
Wapi huko wananunua mende sh500? Nilidhani labda umekosea heading kumbe ulimaanisha, mi nilijua TENDE asee
 
Watajua maana MENDE mmoja anatakiwa awe na gramm tano na awezi kuifikisha bila kupewa hivyo vyakula na pia MENDE ambaye anakula kinyesi anajulikana kuanzia rangi mpaka harufu Kali.
Ukiwapulizia perfume kabla ya kuuza hawatojua
 
Good walikuwa wanabisha sana naona ndo wataanza kuamini
[emoji122] [emoji122] [emoji122] mchanganuo wa kufuga mende 1000 upoje , na soko lake pia. Mi kuamini kirahisi rahisi kuhusu soko ulilosema ni ngumu mpaka nishuhudie kwa macho yangu nione watu wanavyonunua hao mende ndo itanipa hamasa ya kufuga
 
Sisi wengine tunajua mende ni wadudu hatari na wachafu, leo unaniambia ni pesa? hii dunia kwisha kwenda mbele
 
Dawa nyingi sana Duniani zinakuwa na protein coat na nyingine hutumia protein coat ya coat la unga wa mende yaani mende waliokaushwa na kusagwa.
Unaweza tukasema nauli mende lakini ukawa nimewatumia kwenye vidonge kwa kujua au kutojua.
Sambamba na hilo zipo cosmetics zinazotumia unga wa mende.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…