Ndugu wapendwa wa jamii forum,napenda kutambulisha na kuongelea hii biashara mpya ambayo imeshamiri sana mjini,na maanisha yaaji biashara ya MENDE kwa kuwa vijana wengi wamejikita katika ufugaji wa MENDE kama chakula bora ambacho utoa protein nyingi sana Kama virutubisho katika mwili wa mwanadamu na pia kuwa biashara yenye mafanikio na faida kubwa sana maana MENDE mmoja ambaye amerishwa vizuri anatakiwa kuuzwa 500/=kwani huwa na gramm 5, LAKINI kilo moja ya MENDE wa kukaangwa huweza kuuzwa mpaka 70,000/=ko ukijitahidi kuwafuga vizuri Sana kwa kuweza kuwalisha chakula bora kama unga,pumba pamoja na kuwapa maji safi na salama unaweza kula mema ya hii nchi maana kwa Kila box au tray moja ya mayai unauwezo wa kuwalisha zaidi ya MENDE 1,000/=ko kama kila MENDE Ni 500/=maana yake unaweza pata 500/=×1,000/={500,000/=} laki tano ambayo ni pesa ndefu sana kwa kipindi hichi Cha jiwe,Ko nawahasa sana watanzania mbadilike hili tuweze kuokoa hazina hii ambayo inapotea bila faida,na washauri muanze kufuga au kununua kwa wingi maana MENDE uboresha sanaafya hasa kwa watoto wadogo napia nawaibia Siri kubwa Sana wanaume wa dar maana inaongeza nguvu za kiume kuliko hata Viagra na vumbi la Kongo na pia wachina wanapenda sana kula MENDE wakiwa Tanzania kuliko chakula chochote kile ko hiyo Ni fursa moja wapo.
N•B:Ni marufuku kufuga au kuchukua MENDE wa chooni yaani IVINYENZI.