Chakula cha Rais

Unachokiandika ndio mfumo wako wa akili unaonyesha jinsi utapiamlo ulivyoshambulia ubongo wako. Jifunze kwa wengine upate kuelimika sio kijidai wajua na mwerevu. Jifunze wa walimwengu na walimwengu wajifunze kwako. Soon naweza kufa kwa uzee na mafuriko ya huku kwetu bali pokea usia wangu.
Unamzungumzia rais yupi?...wa TFF , UD au wa MAT ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona juzi kala ugali dagaa la kigoma na mnafu mchanganyiko na nyama humo humo
 
Dah...kama hapa lipo la kujifunza ....basi neno elimu linakosa maana [emoji2960]

Sent using Beretta ARX 160
 

inategemea na mtu, kwa mfano rais mobutu alikuwa anaishi ikulu na nyumbani kwake kwa wakati mmoja, akiwa nyumbani kwake alipenda kula kisamvu , samaki na nyama so wapishi wake walijua vyakula anavyopenda kula na walimpikia
lakini pia ikulu hakipikwi chakula kimoja, walipikwa samaki aina ya lobster, mayai , walipika vyakula vingi lakini hakula vyote hivo alikula anachotaka


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anakulaga na wengine, kinapikwa zaidi ya kimoja, kikiletwa wasaidizi wake wanaonja( kuepuka sumu) maana watu si wema. Wakati anakula kilichobaki wanakula wengine. Sometimes anaweza kula na familiya yake kama sisi tunavyokula na wengine.

umenikumbusha adolph hitler , alikuwa ameajiri mabinti warembo zaidi ya 8 aged 20’s eti kazi yao ni kuonja chakula chake tu kila siku


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rais wetu anakula chakula cha kawaida sana.

Nakumbuka mwaka jana alisema, alipita mkoa fulani akapewa mahindi yaliyochomwa akala, yaliyobaki aliamka usiku akaendelea kula kiporo cha hayo mahindi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…