Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siyo kilomita 18,000, ni maili 18,000. Kuhusu chakula na mahitaji mengine Lilongo ameeleza. Chakula chao huandaliwa kwa kuongezwa virutubisho muhimu hapa duniani. Angani huko hakuna weight na air resistance hivyo chombo husafiri kwa kasi sana bila waliomo ndani kuhisi. Wanalala na kwenda haja kama kawaida ingawa kutokana na weightlessness watu hulala kwenye mifuko maalumu iliyoshikizwa kwenye kuta ili mtu asielee na kusogea wakati wa kulala. Kwao usiku huonekana mara 8 ndani ya saa 24 ambapo hudumu kwa dakika chache kutokana na mwendokasi.Pamoja na maelezo yako mazuri, lakini hujajibu swali. Hawa wanasayansi walioko kwenye Kituo cha Kimataifa cha Anga, huwa wanakula chakula cha aina gani? Je kuna vyoo? Na je katika mwenzo kasi wa Km 18,000 kwa saa, mwanadamu anaweza kwenda haja?
Siyo kilomita 18,000, ni maili 18,000. Kuhusu chakula na mahitaji mengine Lilongo ameeleza. Chakula chao huandaliwa kwa kuongezwa virutubisho muhimu hapa duniani. Angani huko hakuna weight na air resistance hivyo chombo husafiri kwa kasi sana bila waliomo ndani kuhisi. Wanalala na kwenda haja kama kawaida ingawa kutokana na weightlessness watu hulala kwenye mifuko maalumu iliyoshikizwa kwenye kuta ili mtu asielee na kusogea wakati wa kulala. Kwao usiku huonekana mara 8 ndani ya saa 24 ambapo hudumu kwa dakika chache kutokana na mwendokasi.
hawabebi chakula kingi hivyo...
huchukua virutubisho vyote muhimu na kuvihifandi kama dawa au vidonge, wakila hivyo vinaenda kutumika mwilini moja kwa moja havihitaji kumeng'enywa( sawa na mgonjwa anapopewa dripu ya vitamini).
Hubeba maji kiasi kidogo tu kwani kuna dawa ya ku-purify mkojo(unaweza usiamini ila ndio hivyo).
mkojo husafishwa na kuwa maji safi, wanakunywa tena.
Kwa jinsi tunavyojifahamu waswahili kuhusu kupenda kula sayansi hatuiwezi ya kwenda anga za mbali,sasa vidonge tu uishi aaaaah hii hapana hivyo vyombo vya kuendea huko walau viongezwe ukubwa ipatikane space ndogo walau ya kuweka maboksi ya biskuti na catton za azam cola dona kidogoooo na maharagwe walau sembe nyakati za usiku.
Kaa ujue na hili kuwa hakuna binadamu aliyewahi kufika Mwezini.

Hahahaah mkuu unaonekana kwenye ishu za kula upo vizuri.Kwa jinsi tunavyojifahamu waswahili kuhusu kupenda kula sayansi hatuiwezi ya kwenda anga za mbali,sasa vidonge tu uishi aaaaah hii hapana hivyo vyombo vya kuendea huko walau viongezwe ukubwa ipatikane space ndogo walau ya kuweka maboksi ya biskuti na catton za azam cola dona kidogoooo na maharagwe walau sembe nyakati za usiku.
Mkuu,ushawahi kuziskia Apollo missions?
na sisi hicho kitengo cha sayansi hapo bamaga ni lini kitarusha chombo? au mpaka ccm watoke madarakani?
Siyo kilomita 18,000, ni maili 18,000. Kuhusu chakula na mahitaji mengine Lilongo ameeleza. Chakula chao huandaliwa kwa kuongezwa virutubisho muhimu hapa duniani. Angani huko hakuna weight na air resistance hivyo chombo husafiri kwa kasi sana bila waliomo ndani kuhisi. Wanalala na kwenda haja kama kawaida ingawa kutokana na weightlessness watu hulala kwenye mifuko maalumu iliyoshikizwa kwenye kuta ili mtu asielee na kusogea wakati wa kulala. Kwao usiku huonekana mara 8 ndani ya saa 24 ambapo hudumu kwa dakika chache kutokana na mwendokasi.
Achana na consipirancy theories. Watu wamekwenda mwezini mara kadhaa. Na upo ushahidi wa Kisayansi kuthibitisha hilo. Wamarekani walipofika mwezini kwa mara ya kwanza mwaka 1969, waliweka BEAM ambayo hutumika kupima umbali toka Duniani mpaka kwenye mwezi.
Umeuliza maswali ya muhimu. Kwa ufupi niseme hakuna binadamu aliyewahi kusafiri angani zaidi ya kilomita laki 4. Safari ya mwisho ya binadamu anga za mbali ilikuwa ni mwezini mwaka 1972. Kwa sasa kuna Kituo cha Kimataifa cha Anga (International Space Station) kilichopo kilomita zaidi ya 420 angani, ambacho huzunguka dunia kila baada ya dakika 90 kwa mwendo kasi wa maili 18,000 kwa saa. Katika kituo hicho huwepo wanasayansi wanaoishi na kufanya tafiti mbalimbali za kisayansi hasa sayansi ya anga za juu.
Kituo hicho hupata mahitaji kutoka duniani. Wanasayansi (wakiwemo wa Marekani) hupelekwa na kurudishwa duniani na chombo cha safari za anga cha Urusi kinachoitwa Soyuz baada ya kile cha Marekani, Shuttle, kusitisha huduma.
Safari za anga za mbali hufanywa kwa kutumia vyombo peke yake. Kwa mfano, NASA ilituma chombo, New Horizons, kwenda kuchunguza sayari ya Pluto, ambayo Jumuiya ya Kimataifa ya masuala ya anga ilishaiondoa kwenye orodha ya safari. Chombo hicho kilisafiri maili zaidi ya bilioni 3 kwa muda wa miaka 9.5 na mwaka huu ulipita Pluto ambapo imethibitisha kuwa ni sayari.
Jibu la swali lako kwa uhakika ni kwamba binadamu hajawahi kwenye umbali wa kilomita zaidi ya laki 4 (Mwezini).
Hahahaah mkuu unaonekana kwenye ishu za kula upo vizuri.