Chakula gani kinadumu wakati wa mfungo wa Kwaresma

Misunderstood

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2020
Posts
384
Reaction score
884
Habari!

Naomba kusaidiwa kujua aina ya vyakula ambavyo vinadumu tumboni hasa wakati wa mfungo!

Mfano nikila hicho kitu saa11 asubuhi sitosikia njaa kali mpaka saa1 usiku.

Tafadhali naomba msaada wenu[emoji1431]
 
Tende. (Dates) na maziwa au na yoghurt.

Nakutakia mfungo mwema.
 
Asanteni kw maoni yenu!
Na sijasema nisisikie njaa bali njaa kali kiasi kwamba nikashindwa kufanya mambo muhimu kabisa.
 
Habari!

Naomba kusaidiwa kujua aina ya vyakula ambavyo vinadumu tumboni hasa wakati wa mfungo!

Mfano nikila hicho kitu saa11 asubuhi sitosikia njaa kali mpaka saa1 usiku.

Tafadhali naomba msaada wenu[emoji1431]
Mkuu hujadhamiria kufunga, bora ule tu ila utende yaliyomema.
 
Kula tu kawaida.. week ya Kwanza njaa itakusumbua Ila baadae tumbo sjui linanywea unaweza ata ukala mlo mmoja na kesho yake usiskie njaa ya hivyo Wala... nikutakie mfungo mwema
 
Asanteni kw maoni yenu!
Na sijasema nisisikie njaa bali njaa kali kiasi kwamba nikashindwa kufanya mambo muhimu kabisa.
Kufunga kusikie tu, mi juzi kati, almanusura niangukie counter la watu crdb[emoji848][emoji848]

Sema inalipa sana, Mungu huyu[emoji122][emoji122][emoji122]

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Habari!

Naomba kusaidiwa kujua aina ya vyakula ambavyo vinadumu tumboni hasa wakati wa mfungo!

Mfano nikila hicho kitu saa11 asubuhi sitosikia njaa kali mpaka saa1 usiku.

Tafadhali naomba msaada wenu[emoji1431]
Hapo unakua hujafunga mzee
 
Habari!

Naomba kusaidiwa kujua aina ya vyakula ambavyo vinadumu tumboni hasa wakati wa mfungo!

Mfano nikila hicho kitu saa11 asubuhi sitosikia njaa kali mpaka saa1 usiku.

Tafadhali naomba msaada wenu[emoji1431]
Unajua dhana ya kufunga ni kujinyima sasa unataka wakati wa kufunga usiwe na njaa, badilisha mitazamo
 
Back
Top Bottom