Chakula gani kinadumu wakati wa mfungo wa Kwaresma

Kufunga kusikie tu, mi juzi kati, almanusura niangukie counter la watu crdb[emoji848][emoji848]

Sema inalipa sana, Mungu huyu[emoji122][emoji122][emoji122]

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Tell me the secret ya kufunga na matokeo yake, huwa nafunga tu labda huwa siwi na dhamira fulani
 
Njaa wakati wa mfungo ndipo iliposimama msingi wa imani na maana ya mfungo.....kadri unavyoivumilia njaa hali ya kuwa una hela ya kula mfukoni hapo ndio unaisimamisha imani na kuonyesha jinsi gani unafuata maagizo ya Mungu na sio utashi wako.......

Sasa kama una shinda umeshiba mpaka unasahau kama umefunga unaijenga vipi imani.....kaa viongozi wako wa dini wakuelekeze maana ya mfungo na misingi yake........

Nakutakia kwaresma njema yenye amani na baraka za Mungu....
 
Tell me the secret ya kufunga na matokeo yake, huwa nafunga tu labda huwa siwi na dhamira fulani
Dhamiria kila kitu unachokihitaji ili Mwenyezi Mungu akufanyie, tenda mema, toa sadaka funga (hii kufunga ni mpaka mwisho wako, yaan utakapojihisi umechoka ndo unalegeza)

Best waja niambia, ( unajibiwa live)

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Dhamiria kila kitu unachokihitaji ili Mwenyezi Mungu akufanyie, tenda mema, toa sadaka funga (hii kufunga ni mpaka mwisho wako, yaan utakapojihisi umechoka ndo unalegeza)

Best waja niambia, ( unajibiwa live)

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Okey nitafanyia kazi, kuna sadaka nilishatoa ni kubwa sana imenigharimu sana hakika Mungu atanijibu pitia hiyo sadaka pia
 
U r missed more!
Vipi wewe huwa unafunga?[emoji6]
Mimi huwa nafunga na ni mtoaji wa sadaka nzuri zile za kujitoa muhanga kabisa zaidi hata ya kufunga, maana unaambiwa unatakiwa ujitoe sana ili kumnyenyekea Mungu, sema ninafunga kiholela sana huwa sina dhamira hii mbaya
 
Sadaka unatoa kanisani au kwa wahitaji?
 
Mimi huwa nafunga na ni mtoaji wa sadaka nzuri zile za kujitoa muhanga kabisa zaidi hata ya kufunga, maana unaambiwa unatakiwa ujitoe sana ili kumnyenyekea Mungu, sema ninafunga kiholela sana huwa sina dhamira hii mbaya
Unafanya vyema sana kwa kutoa sadaka. Ila kwa kuwa unaweza kufunga basi uwe unadhamiria kweli. Kuna ile funga ya kujitenga na dunia yaani kutoonana wala kuongea na mtu yeyote, siku nzima inakuwa ni sala, maombi, kusoma neno la Mungu, kusifu na kuabudu hii haijawahi kuniangusha kila ninachokiomba kwa kutumia funga hii huwa kinafanikiwa. Jaribu hii siku moja, uone ukuu wa Mungu.
 
Acheni mizaha!Kwa hiyo unafunga halafu unakula mara mbili kwa siku?🤔🤔🤔
 
Unafanya vyema sana kwa kutoa sadaka. Ila kwa kuwa unaweza kufunga basi uwe unadhamiria kweli. Kuna ile funga ya kujitenga na dunia yaani kutoonana wala kuongea na mtu yeyote, siku nzima inakuwa ni sala, maombi, kusoma neno la Mungu, kusifu na kuabudu hii haijawahi kuniangusha kila ninachokiomba kwa kutumia funga hii huwa kinafanikiwa. Jaribu hii siku moja, uone ukuu wa Mungu.
Hiyo nilifanyaga sana seminary [emoji23][emoji23][emoji23] kuna kipindi tulikua tunafunga yani tulikua hatuongei [emoji28][emoji28][emoji28] watu tunapishana kama mabubu, tangu nimetoka kule sijawahi funga hivyo tena, ila Mungu ni mkarimu hutusame makosa yetu hata kama tunaanguka kila siku [emoji23][emoji23][emoji23]
 
U r missed more!
Vipi wewe huwa unafunga?[emoji6]
Mimi funga yangu utacheka, yani kama asubuhi nimetoka nyumbani sijanywa chai basi ndiyo najisemea leo nafunga, ila wakati nipo shule niliweza sana kufunga sijui kwasababu chakula kilikua ni cha ajabu au na zile kanuni na taratibu za shule [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kweli hii funga yako inachekesha, hapo hufungi ila unaamua kujishindisha njaa[emoji1787]
 
Hiyo nilifanyaga sana seminary [emoji23][emoji23][emoji23] kuna kipindi tulikua tunafunga yani tulikua hatuongei [emoji28][emoji28][emoji28] watu tunapishana kama mabubu, tangu nimetoka kule sijawahi funga hivyo tena, ila Mungu ni mkarimu hutusame makosa yetu hata kama tunaanguka kila siku [emoji23][emoji23][emoji23]
Mmmh hii nadhani siiwezi, yaani kupishana na watu ila huongei nao hata wakikusemesha? Hii ni rahishi kuharibu mfungo wako au kuwakwaza wengine. Ninayoifanya mimi ni ya kujifungia ndani kwa siku nzima au kushinda msituni
 
Back
Top Bottom