Chakula gani kinadumu wakati wa mfungo wa Kwaresma

Chakula gani kinadumu wakati wa mfungo wa Kwaresma

Kweli hii funga yako inachekesha, hapo hufungi ila unaamua kujishindisha njaa[emoji1787]
Umeona ehh ni kituko eti, ila Mungu wetu ni Mungu wa kuangalia mioyo kuliko hata matendo
 
Mmmh hii nadhani siiwezi, yaani kupishana na watu ila huongei nao hata wakikusemesha? Hii ni rahishi kuharibu mfungo wako au kuwakwaza wengine. Ninayoifanya mimi ni ya kujifungia ndani kwa siku nzima au kushinda msituni
Mfungo huo wa ububu unatakiwa ufanywe ukiwa likizo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], kama unafunga kutongea na ikatokea boss anakuuliza maswali yanayotaka majibu unamtolea macho [emoji28][emoji28][emoji28]unaitafuta barua ya kusimamishwa kazi
 
Asanteni kw maoni yenu!
Na sijasema nisisikie njaa bali njaa kali kiasi kwamba nikashindwa kufanya mambo muhimu kabisa.
Piga magimbi yanachukua masaa 24 hadi ushibuke, utakuja kuwapa ushuhuda wengine ukipiga 11 alfajiri hadi 11 afjairi y siku ya pili
 
Tbug hii ya kula saa 11 alfajiri ni nusu funga? Maana Mtaguso unatoa ufafanuzi wa funga kamili ni kuanzia saa sita usiku bila maji wala chakula mpaka 12 jioni. Yaani katika masaa 24 ya siku una masaa sita tu ya kula u schot als.

Kufunga kuendane na ibada, sala na kusaidia wasiojiweza.
 
Habari!

Naomba kusaidiwa kujua aina ya vyakula ambavyo vinadumu tumboni hasa wakati wa mfungo!

Mfano nikila hicho kitu saa11 asubuhi sitosikia njaa kali mpaka saa1 usiku.

Tafadhali naomba msaada wenu[emoji1431]
Makande!
 
Mfungo huo wa ububu unatakiwa ufanywe ukiwa likizo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], kama unafunganga kutongea na boss anakuuliza maswali yanayotaka majibu unamtolea macho [emoji28][emoji28][emoji28]unaitafuta barua ya kusimamishwa kazi
[emoji23][emoji23][emoji23] kweli kabisa.
 
Tbug hii ya kula saa 11 alfajiri ni nusu funga? Maana Mtaguso unatoa ufafanuzi wa funga kamili ni kuanzia saa sita usiku bila maji wala chakula mpaka 12 jioni. Yaani katika masaa 24 ya siku una masaa sita tu ya kula u schot als.

Kufunga kuendane na ibada, sala na kusaidia wasiojiweza.
Muongozo wa kikatoliki unachanganya sana....
 
Mimi funga yangu utacheka, yani kama asubuhi nimetoka nyumbani sijanywa chai basi ndiyo najisemea leo nafunga, ila wakati nipo shule niliweza sana kufunga sijui kwasababu chakula kilikua ni cha ajabu au na zile kanuni na taratibu za shule [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mimi huwa nafunga na ni mtoaji wa sadaka nzuri zile za kujitoa muhanga kabisa zaidi hata ya kufunga, maana unaambiwa unatakiwa ujitoe sana ili kumnyenyekea Mungu, sema ninafunga kiholela sana huwa sina dhamira hii mbaya
Mkuu unaweza usijibiwe wewe wakajibiwa watoto wako au wajukuu wako, Acha nature ifanye kazi yake,
 
Habari!

Naomba kusaidiwa kujua aina ya vyakula ambavyo vinadumu tumboni hasa wakati wa mfungo!

Mfano nikila hicho kitu saa11 asubuhi sitosikia njaa kali mpaka saa1 usiku.

Tafadhali naomba msaada wenu[emoji1431]
Rc Hamna falsafa wala theologia ya kufunga chakula/ Haya ni mambo ya kuiga iga yaliyoletwa na wanamaombi ya karismatic katika rc. Uliza kwa yeyote Haya mambo ya kufunga njaa rc hayapo.
 
Back
Top Bottom