Misunderstood
JF-Expert Member
- Aug 4, 2020
- 384
- 884
Tende. (Dates) na maziwa au na yoghurt.Habari!
Naomba kusaidiwa kujua aina ya vyakula ambavyo vinadumu tumboni hasa wakati wa mfungo!
Mfano nikila hicho kitu saa11 asubuhi sitosikia njaa kali mpaka saa1 usiku.
Tafadhali naomba msaada wenu[emoji1431]
Habari!

Achana nae.inaonesha hajui hata anafanya nn zero brain huyo...dah...Nini maana ya kufunga kama hutaki kusikia njaa?
@Yoda umejua kunichekesha JAMANI[emoji1787]Nini maana ya kufunga kama hutaki kusikia njaa?
Mkuu hujadhamiria kufunga, bora ule tu ila utende yaliyomema.Habari!
Naomba kusaidiwa kujua aina ya vyakula ambavyo vinadumu tumboni hasa wakati wa mfungo!
Mfano nikila hicho kitu saa11 asubuhi sitosikia njaa kali mpaka saa1 usiku.
Tafadhali naomba msaada wenu[emoji1431]
@Yoda umejua kunichekesha JAMANI[emoji1787]
Mhhh muhuuuuuMihogo ya kukaanga na karanga
Kufunga kusikie tu, mi juzi kati, almanusura niangukie counter la watu crdb[emoji848][emoji848]Asanteni kw maoni yenu!
Na sijasema nisisikie njaa bali njaa kali kiasi kwamba nikashindwa kufanya mambo muhimu kabisa.
Ulifunga siku ngp?Kufunga kusikie tu, mi juzi kati, almanusura niangukie counter la watu crdb[emoji848][emoji848]
Sema inalipa sana, Mungu huyu[emoji122][emoji122][emoji122]
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Hapo unakua hujafunga mzeeHabari!
Naomba kusaidiwa kujua aina ya vyakula ambavyo vinadumu tumboni hasa wakati wa mfungo!
Mfano nikila hicho kitu saa11 asubuhi sitosikia njaa kali mpaka saa1 usiku.
Tafadhali naomba msaada wenu[emoji1431]
Unajua dhana ya kufunga ni kujinyima sasa unataka wakati wa kufunga usiwe na njaa, badilisha mitazamoHabari!
Naomba kusaidiwa kujua aina ya vyakula ambavyo vinadumu tumboni hasa wakati wa mfungo!
Mfano nikila hicho kitu saa11 asubuhi sitosikia njaa kali mpaka saa1 usiku.
Tafadhali naomba msaada wenu[emoji1431]
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Ua missedMkuu hujadhamiria kufunga, bora ule tu ila utende yaliyomema.