dunia tunapita
JF-Expert Member
- Aug 15, 2012
- 356
- 61
tende na mtindi pia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukila kitunguu saumu na ufuta utatoa manii mpaka asubuhi na utadumu muda mrefu bila kuchomoa uume.
jamani kamakuna mtu anauelewa kuhusu jambo hili tusaidianae tuteushauri namawazo yakiutuuzima.
Piga punyeto.
Hizi chizi zinapatikana wapi?Mkuu.Polisi Kakupa ushauri mzuri na mimi nitaongeza kidogo tumia kwa wingi hii kitu cheese kulia na mkate utaona manii itakuwa ni nyingi ya kumwaga.
![]()
![]()
Chizi mweupe huyo kula sana hii kitu unapata manii ya kumwaga .
Cheese aka jubini inapatikana kwenye maduka ya Super Market kaulize utapata.Hizi chizi zinapatikana wapi?
Mkuu ni jibini hizi siagi za "blue band" au samli?
We huenda ujaelewa mada... Kasema anahitaj manii... Punyeto ukipiga unatoa izo manii then atazipataMkuu akili yako haina akili, yaonekana mda wote kichwa chako kimejaa ujinga na upumbavu, pole sana
Ukishakuwa nakujitambua utaacha.
Jibini sio siagi wala Blue Band nenda kaulize Super Market utapata. au kwa wanaofuga Ng'ombe wa Maziwa uliza pia uapata.Mkuu ni jibini hizi siagi za "blue band" au samli?
Samli kwa kiingereza ni Ghee.. jibini ni cheese..Kuna utofauti ya jibini na samli?
Inabidi umwambie cheese ya aina gani hasa.. kwa sababu zinatofautiana sana kwenye virutubisho na ladha..Mkuu.Polisi Kakupa ushauri mzuri na mimi nitaongeza kidogo tumia kwa wingi hii kitu cheese kulia na mkate utaona manii itakuwa ni nyingi ya kumwaga.
![]()
![]()
Chizi mweupe huyo kula sana hii kitu unapata manii ya kumwaga .
Inaonyesha wewe Mkuu.@MAKANJAMNA unazijuwa Cheese za aina nyingi lakini je ulizo zitaja hizo Cheese zipo nchini Tanzania? jibu hakuna. Cheese yoyote utakayoipata inatosha ili mradi iwe Cheese aka jubini inatosha.Inabidi umwambie cheese ya aina gani hasa.. kwa sababu zinatofautiana sana kwenye virutubisho na ladha..
Hiyo kwenye picha kama sikosei ni mozarela.. huwa inatumika hasa katika pizza na vyakula vingi vya kiitaliano.
![]()
Cheese nzuri kwa mkate labda ni chedar cheese au swiss cheese (nazo zipo za aina nyingi)..
Kwa virutubisho zaidi anaweza kutafuta English blue cheese.. though hii huwa ina harufu kali sana kama hujazoea itakushinda.
Kama ni mpenzi wa salad basi atumie parmesan cheese (parmigiano) kama mojawapo ya toppings.. hii mara nyingi huwa haipikwi.
Yaah.. zinapatikana.. dunia imekuwa ndogo siku hizi.. zipo supermarketsInaonyesha wewe Mkuu.@MAKANJAMNA unazijuwa Cheese za aina nyingi lakini je ulizo zitaja hizo Cheese zipo nchini Tanzania? jibu hakuna. Cheese yoyote utakayoipata inatosha ili mradi iwe Cheese aka jubini inatosha.
Haya kazi kwakoYaah.. zinapatikana.. dunia imekuwa ndogo siku hizi.. zipo supermarkets
mdalasini ni mzr mkuu sioMdalisini tumia kwenye chai