Chakula gani kitumike ili kuboresha na kuzalisha manii?

Ukila kitunguu saumu na ufuta utatoa manii mpaka asubuhi na utadumu muda mrefu bila kuchomoa uume.
 
Shida yote ya nini hyo? Labda umfanyie mke wa waziri au mbunge ili uwe unakula hela zako ila kama ni demu wako haina haja ya kula hayo mavitu!
 
jamani kamakuna mtu anauelewa kuhusu jambo hili tusaidianae tuteushauri namawazo yakiutuuzima.

ndugu yangu, iliuwe na manii yenye afya fanya mambo yafuatayo.

1. Nenda hospitali kuhakisha kua huna magonjwa kama fungus, gonoria, kaswende nk.
2. Kunywa maji mengi sana zaidi ya lita tatu kwa siku.
3. Kula ushibe balanced diet.
4. Pendelea asali mbichi, karanga na maziwa fresh.
5. Fanya mazoezi, at least kimbia kuzunguka kiwanja cha mpira mara kumi kwa siku.
 
Pata maziwa ya nyati (ni vigumu) au ya ngamia
haya hata kariakoo yanapatikana bila kusahau supu ya Pweza dume.
 
Mkuu.Polisi Kakupa ushauri mzuri na mimi nitaongeza kidogo tumia kwa wingi hii kitu cheese kulia na mkate utaona manii itakuwa ni nyingi ya kumwaga.

White%20cheese.jpg

feta_fette.jpg

Chizi mweupe huyo kula sana hii kitu unapata manii ya kumwaga .
Hizi chizi zinapatikana wapi?
 
Mkuu akili yako haina akili, yaonekana mda wote kichwa chako kimejaa ujinga na upumbavu, pole sana
Ukishakuwa nakujitambua utaacha.
We huenda ujaelewa mada... Kasema anahitaj manii... Punyeto ukipiga unatoa izo manii then atazipata
 
Mkuu.Polisi Kakupa ushauri mzuri na mimi nitaongeza kidogo tumia kwa wingi hii kitu cheese kulia na mkate utaona manii itakuwa ni nyingi ya kumwaga.

White%20cheese.jpg

feta_fette.jpg

Chizi mweupe huyo kula sana hii kitu unapata manii ya kumwaga .
Inabidi umwambie cheese ya aina gani hasa.. kwa sababu zinatofautiana sana kwenye virutubisho na ladha..

Hiyo kwenye picha kama sikosei ni mozarela.. huwa inatumika hasa katika pizza na vyakula vingi vya kiitaliano.

Cheese nzuri kwa mkate labda ni chedar cheese au swiss cheese (nazo zipo za aina nyingi)..

Kwa virutubisho zaidi anaweza kutafuta English blue cheese.. though hii huwa ina harufu kali sana kama hujazoea itakushinda.

Kama ni mpenzi wa salad basi atumie parmesan cheese (parmigiano) kama mojawapo ya toppings.. hii mara nyingi huwa haipikwi.
 
cheese.jpg

Inaonyesha wewe Mkuu.@MAKANJAMNA unazijuwa Cheese za aina nyingi lakini je ulizo zitaja hizo Cheese zipo nchini Tanzania? jibu hakuna. Cheese yoyote utakayoipata inatosha ili mradi iwe Cheese aka jubini inatosha.
 
Yaah.. zinapatikana.. dunia imekuwa ndogo siku hizi.. zipo supermarkets
 
Back
Top Bottom