haapo kwenye kufunika hewa siingie huwa sifanyi hivyo. Yaani umenihamasisha kesho nitapika nifate
haya maelekezo, then nione zitatokaje..
...2012, kazi ni kwako!....
jana umekuja na unyuzi unavyojua ku massage, leo unavyojua kupika...aiseee...sifa zote hizo zina mvuto wa kipekee haki ya mungu.....pheewww! ...hebu mbu nisogee mie---malaria haikubaliki!
Chapati ni chapati mamie,za vitumbua zinaitwa "dida" ukiliwezea dida ndiyo uchawi wote wa kupika vitumbua unakuwa umekwisha!!
Hahahahahahah.
Mbu umenichekesha karibu nipaliwe. . .karibu tumalizie pilau. Alafu bado natafuta mambo muhimu ya kujifunza...lolz!! ANY SUGGESTIONS?
hata upakuaji kwenye sahani nao unahusu
unakuta mtu kakivurugua chakula kwenye sahani hadi wewe jirani anakuchosha kula.
Big up man!!!Ingawa mimi ni mwanaume lakini katika kupika sichezi mbali. Napenda sana kupika especially kuipikia familia yangu. Vyakula vyote ninavyopika huwa vinawavutia sana walaji lakini zaidi kuliko vyote ni nyama iwe ya kukaanga au rost
jG ubwabwa unakushinda wapi?hapa ndipo ulipofunika Kigarama lol....
Mi ni mzee wa mamichemsho na kukaanga kaanga tu, ukiniambie nipike ubwabwa ntatafuta rice cooker.
Ila sababu ni mgonjwa wa mahage siku hyo nlkaa jikoni na bimkubwa mpaka kikaeleweka leo hii natoa ndondo fresh rojo la kutosha.
Hahaha! Sio sahani tu na usafi wakati wa kupika! Nachukia mtu anaemenyea nyanya sakafuni!
Hiyo misosi RR, kwani huo wa kwanza mtu aliula akashindwa kulipa akaurudisha ama?
Hiyo ya bicarbonate umenipa mupya. Nisaidieni jinsi ya kuhifadhi vegetables kama chinese cabbage na couliflower.
hata upakuaji kwenye sahani nao unahusu
unakuta mtu kakivurugua chakula kwenye sahani hadi wewe jirani anakuchosha kula.
we mzee wa michemsho mwenzangu tukae pembeni tuangalie mapishi...
Hahahahaha Kongs leo umekuwa mpole haswa lolz
mnh, ni suggest nini mie yarabi nisikilizwe?...nahesabu siku tu hapa...siku kumi na moja kuanzia leo nahisi si ma bouquet hayo ya maua na chocolates zitazotinga hapo, maana kwa mwendo huu ulokuja nao 2012 mnh!....
...mie ni mjuzi sana wa kupika chai ya mkandaa,....almuradi niwe na tea bags, maji moto na sukari...aah!
halafu ujue umenitamanisha pilau, naskia njaa...! ukapera kazi!
Kwa hiyo apart from solving mathematical problems zisizohusiana na hela, unajua kupakua?! Mabigi!
Wali nazi...maharage nazi...samaki nazi...mchicha nazi,alafu unashushia na drip ya hamsini...usipime kitu cha nazi.
jG ubwabwa unakushinda wapi?
yaani wamenizinaje mdomo
upishi na mie kama mwanafunzi na mitihani
basi tu sababu nataka kula
hata kudiskasi shida
Nilijua tu ulipoanza kukumbushia additional maths nkasema lahaurah mtoto wa watu kapatikana lol,
unamuona huyo Lizzy anavyotaka sifa?
Balancing ya maji inanisumbuaga sana pia kwenye kugeuza pale,
ila wa kujipikia mwenyewe haunipi shida just siwezi kupikia wageni wangu.