Chakula gani ukipika watu wengine wanaomba kuongeza chakula tena?

Chakula gani ukipika watu wengine wanaomba kuongeza chakula tena?

Hahahahaha lol! Haya banaaaaa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.....Kunogewa hakuzoeleki ujue?? Labda mpishi ashindwe ku-deliver! 😏

Cha msingi uwe unasaidia saidia walau kusuuza vyombo. Sio unakula ukimaliza unatulia kama vile sink hulioni πŸ™ˆπŸ™ˆπŸ™ˆπŸ™ˆ
 
Hahahahaha lol! Haya banaaaaa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kama hivi
20210914_193525.jpg
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
VYAKULA
1.Biriyan
2.Multi Biriyani
3.Pilau la Ki baajun + Kihindi
4.Wali wa Nazi
VINYWAJI:
1.Chai ya Nazi
2.Juisi ya Dafu + Nanasi
3.Juisi ya Embe + Nazi
KITOWEO
1.Nyama ya kubanika
2.Chuzi zito la kitanga
3.Samaki wa Nazi wa kupaka
4.Samaki wa mchuzi
5.Nyama ya kuoka ya Bata,Kanga,Kuku.
MBOGAMBOGA
1.Mchicha wa kuungwa+ chukuchuku
2.Kisamvu cha karanga
2.Kisamvu cha Nazi
3.Tembele
4.Bamia + ngongwe
5.Dagaa wowote wale mkausho,mchuzi mchemsho Mambo bambam
VITAFUNWA
1.Andazi,Chapati,bajia dengu + kunde.
2.Mihogo mchemsho + Viazi vitamu
3.Ndizi mzuzu mkaango+ chachandu / chutney heavy
 
Napenda kupika vyakula vya Nazi kama maharage , mbaazi , njegere , choroko etc
Pia vyakula vya vinavyohitaji karanga kama kisamvu , majani ya maboga na bamia + nyanya chungu , kuandaa bites kama bagia , kababu ,chapati ,
I love cooking so bad , nipo radhi niende cooking class nipate hata ka certificate ya hotel management .
 
Ujue una balaa! nina njaa nilikuwa natafuta uzi wa chakula ili nipate appetite gafla nakutana na huu uzi wako!

Nauliza, hivi ukiwa mtu mzima ndio unaanza kupatwa na hali ya kuwa na njaa ila kukosa apetite? hehehe!
😁😁😁 poleeeee!!!! Ila I hope ushaipata appetite yako πŸ™‚

Ukubwa wapiii....stress ndo sana sana zinatuondolea appetite. Mi nimegundua siku hizi nakula ila most of the time sina njaa...nahisi nikisema niwe naisubiria siku inaweza ikapita hivi hivi πŸ₯΄πŸ₯΄
 
Napenda kupika vyakula vya Nazi kama maharage , mbaazi , njegere , choroko etc
Pia vyakula vya vinavyohitaji karanga kama kisamvu , majani ya maboga na bamia + nyanya chungu , kuandaa bites kama bagia , kababu ,chapati ,
I love cooking so bad , nipo radhi niende cooking class nipate hata ka certificate ya hotel management .
Natamani unialike kwako.

Hivyo ndivyo vyakula ninavyovipenda
 
Kuna watoto tulikua tunaishi nao wenyewe walikua wanapenda wakidumbukiza tonge la ugali kwenye mchuzi ile kupeleka mdomoni mchuzi utiririke mkononi (I HATE THAT). . na kwenye wali waone punje zinaelea, but they eventually got over it.
Hii starehe yake tunaijua wenyewe.. priceless
 
Back
Top Bottom