Chakula gani ukipika watu wengine wanaomba kuongeza chakula tena?

And I'm saying this frankly,kama kuna kilichonikera kokote,iwe mambo ya family,work stuffs,etc. chakula (a good,delicious food) would wipe all that out!

Tena ukinijulia napenda nini.. Ndo unanimaliza kabisa... Kwangu the best surprise I adore,is a food that you know I like most...
Hata kama mpishi ndiye alinikera asubuhi,au usiku na asubuhi nikaondoka bila kuaga,nikirudi na mihasira yangu nikuta hiyo,tunaanza afresh...

Kwangu a good cook(Lizzy could be that sort,based on variety ya vitu anavyojua kupika),is a qualification to be a good wife..
 
lizzy uko vizuri mama kumbe sector zote dah!
mm ktk ulivyotaja hapo juu najua baadhi hayo mapizza hata mm walaaa.

Hehehe. .ukitaka tutafundishana tu Obbie.
 
LAT ngoja nisome hii post yako mara kumi. . nikishawishika ntaenda nione kama na mimi naweza nikapenda though naogopa!!Hehehe. . .

Nini kingine ambacho hakijazoeleka sana umewahi kujaribu? Kaka yangu aliwahi kula konokono akasifia ni tamu kama kuku. . . mi nikifikiria tu tumbo linanivuriga.
 
Aisee we mzuri kweli. Yani chakula kizuri tu matatizo yote kisha kazi? Basi ukipata mke ambae ni mtaalamu jikoni mbona atakua na raha sana.

Enhe unapendelea vyakula gani zaidi?
 
Lizzy

moja ya sifa za michunga ni uchungu, yaani ukiwa mbichi ni mchungu kuliko hata chloroquine lakini niliwahi kula mchunga uliopikwa na nazi ulikuwa mtamu sana na hauna uchungu, michunga pia ni dawa ya magonjwa mbalimbali

can you cook that
 
Sijawahi kupika LAT, ila bibi yangu alikua anapika. Ukila na ugali hata ule uchungu huupati kivile. .

Kama unataka kupika nadhani kupunguza uchungu unaweza ukauchemsha kidogo alafu umwage yale maji ndio uunge na nazi yako.
 
Aisee we mzuri kweli. Yani chakula kizuri tu matatizo yote kisha kazi? Basi ukipata mke ambae ni mtaalamu jikoni mbona atakua na raha sana.

Enhe unapendelea vyakula gani zaidi?

Sorry mtaa huu sikupita jana Lizzy...

Yaani huwezi kuamini Lizzy,mimi stress na hasira zangu zote zinadissolve na chakula kizuri ninachokipenda. Vyakula ninavyopendelea ni mapishi ya aina zote ya Ndizi(kasoro kuchoma na kukaanga),na Pilau.

Kingine Lizzy we umemuacha kwa mbali aliyekuwa my ........ kwani variety yako ni kubwa.. Ila alishanijulia akinipikia ndizi,anajua ananiweka kwenye mood gani na anawakilisha chochote nami natekeleza... Au tunapanga kitu tunafanikisha...

I miss those days...
 
Aisee. . hapo kwa ndizi tuu. . hamia Uchaggani Au Bukoba ukafurahishwe kila siku. Kweli wewe unaonekana ni mtu rahisi sana kuishi nae.Hongera kwa hilo.

Alafu if you miss those days CREATE NEW ONES!!
 
Aisee. . hapo kwa ndizi tuu. . hamia Uchaggani Au Bukoba ukafurahishwe kila siku. Kweli wewe unaonekana ni mtu rahisi sana kuishi nae.Hongera kwa hilo.

Alafu if you miss those days CREATE NEW ONES!!

Mi chotara ya zote hizo mbili Lizzy...
Baba mashariki,mama Magharibi..

Toc reate new ones? Not now...
 
Mi chotara ya zote hizo mbili Lizzy...
Baba mashariki,mama Magharibi..

Toc reate new ones? Not now...
Niiiiiice. . . kumbe ndio maana unapenda sana machalari/maandu/matoke?

Hhhm owwkey. . .
 
Mmh!
 
Nasubiri invitation ya dinner 😜 sikujua kama ni mpishi mzuri hivi kwenye mahanjumati.
 
Nasubiri invitation ya dinner 😜 sikujua kama ni mpishi mzuri hivi kwenye mahanjumati.
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† Sio kwa mfufuo huu aiseee!!!!πŸ™πŸΎ

Kuhusu mualiko ni wewe tu BAK Siku ukiamua unajialika mie naremba meza πŸ˜‰
 
Reactions: BAK
Hahahahaha eti najialika lol!!! Huyu BAK alijialika kwangu siku moja kwa ajili ya dinner sasa naona kaweka kambi kabisa 🀣🀣🀣🀣🀣 kila baada ya siku mbili anakuja weekend yuko hapa eti anadai mapishi yangu kayapenda 😜😜😜😜
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† Sio kwa mfufuo huu aiseee!!!!πŸ™πŸΎ

Kuhusu mualiko ni wewe tu BAK Siku ukiamua unajialika mie naremba meza πŸ˜‰
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.....Kunogewa hakuzoeleki ujue?? Labda mpishi ashindwe ku-deliver! 😏

Cha msingi uwe unasaidia saidia walau kusuuza vyombo. Sio unakula ukimaliza unatulia kama vile sink hulioni πŸ™ˆπŸ™ˆπŸ™ˆπŸ™ˆ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…