πππ.....Kunogewa hakuzoeleki ujue?? Labda mpishi ashindwe ku-deliver! π
Cha msingi uwe unasaidia saidia walau kusuuza vyombo. Sio unakula ukimaliza unatulia kama vile sink hulioni ππππ
Kama hivi View attachment 1937666
Ahsantejamani nachukia kupika???
i would rather do additional maths kuliko kupika.
Big up kwa mnaopenda kupika, i real envy you guys.
Ujue una balaa! nina njaa nilikuwa natafuta uzi wa chakula ili nipate appetite gafla nakutana na huu uzi wako!jmushi1 Kama hivi ehhhhh???πView attachment 1943401
πππ poleeeee!!!! Ila I hope ushaipata appetite yako πUjue una balaa! nina njaa nilikuwa natafuta uzi wa chakula ili nipate appetite gafla nakutana na huu uzi wako!
Nauliza, hivi ukiwa mtu mzima ndio unaanza kupatwa na hali ya kuwa na njaa ila kukosa apetite? hehehe!
Natamani unialike kwako.Napenda kupika vyakula vya Nazi kama maharage , mbaazi , njegere , choroko etc
Pia vyakula vya vinavyohitaji karanga kama kisamvu , majani ya maboga na bamia + nyanya chungu , kuandaa bites kama bagia , kababu ,chapati ,
I love cooking so bad , nipo radhi niende cooking class nipate hata ka certificate ya hotel management .
Da Lizzy unatak kuiba ubunifu wangu hahaUngetupia kapìcha ka hayo matembele ya nazi & jinsi ya kuandaa ingependeza sana!
Da Lizzy unatak kuiba ubunifu wangu hahaUngetupia kapìcha ka hayo matembele ya nazi & jinsi ya kuandaa ingependeza sana!
Ivi nyam ya kondoo inafaa kupik biriyan!?Ungetupia kapìcha ka hayo matembele ya nazi & jinsi ya kuandaa ingependeza sana!
Hii starehe yake tunaijua wenyewe.. pricelessKuna watoto tulikua tunaishi nao wenyewe walikua wanapenda wakidumbukiza tonge la ugali kwenye mchuzi ile kupeleka mdomoni mchuzi utiririke mkononi (I HATE THAT). . na kwenye wali waone punje zinaelea, but they eventually got over it.
No idea maana sijawahi kupika nyama ya kondoo ever.... na kula inaweza kuwa zaidi ya 12yrs ago πIvi nyam ya kondoo inafaa kupik biriyan!?
KaribuNatamani unialike kwako.
Hivyo ndivyo vyakula ninavyovipenda