Chakula gani ulikula mara moja na kwa mara ya kwanza hadi leo hutaki tena kukila?

Sausage.

Ladha yake kama unatafuna karanga zilizooza.
 
Noma sana mkuu[emoji1], nashangaa watu wanatatizo gani na kabichi, asilimia kubwa ya watu ktk huu uzi wameipinga vikali hii mboga[emoji23][emoji23]
Wana chuki binafsi, ajabu wakiikuta kwenye kachumbari ya Juma Mpemba wanaigombania, lol
 
Naona na KIAPO kimeingia kwenye list ua vyakula vibovu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…