Mimi mtanzania !! ila sababu ya utafutaji wazazi yangu wakaondoka jumula kutoka Bongo kuja huku inje ya nchi!! baada ya kustaaf wamerudi huko tena!! kitu nacho furahia watanzania wenzangu wananielewa nikijieleza na nikiandika humu na wanarespond hoja zangu km wewe hivi ufanya,
japo mwanzoni ilikuwa taabu zana!! kueleweka mimi!! inaweza kukaa hata miezi sita watu hawajibu nikasononeka sana hivo basi nikazidisha juhudi sasa naeleweka!
KInacho ajabisha ni kuwa kwenye JF watu wana Identity fake sana, karibia yoote!! na iko vizuri tu hawafuati sheria za uandishi kitu hii ni hatari sana kwa Australia na Ulaya km ukigundulika.
hata wachumba humu ziko fake sana, nilidanganywa ooohh! lkn Mama yangu anipa tahadhari sana nikaona ngoja jaribu kwa taadhari pia ... nikakuta oooh! ni kweli! tapeli sana siyo!
But wako TZ wanafunzi huku ng'ambo sometimes wanasaidia ku type! inaenda salama leo nikaona ni type munyewe shauri vengi vako ya masomo, nikaoona oooh! nimeweza!
Niligundua sana hata Mimi waaiona ID yangu fake tu!! siyo mutu sawa nikasema itabaki hivi shauri watu iko namna hiyo watajua iko ivo iko sawa!! TZ uweke sawa hkuna sawa, uweke fake hakuna jua sasa vipi!! si ok!!
akuja ally kufundisha zaidi si ndio!!!!