Nyaru-sare
JF-Expert Member
- Aug 2, 2019
- 5,261
- 3,679
Ewaaa!!! hapa mwake!!! sili kitu kingine nasahau yote kabisaa!!! sasa kiwe chembamba tena maji ya kunde km Mara wangu miaka 2o hivi Mweee!! Chakula hii waweza kufuru!! halafu kisinyoe! ibaki ivoivo!!! nakula hiyohiyo!!Unyumba!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]dahUkila mchicha sana mchawi hakuoni! ila wewe unamuona na ukila mbegu zake mtu awaye yeyote hakuteti
Aisee wewe ni mtanzania?Bwanae mimi nilishindwa kabisaa kula kitu Ugali, wa aina yeyote ile ili mradi ni ugali!! mpaka leo nikiuona mwili unasisimka...... nilivokuwa naona watu wanasonsomera kwa kasi na nyama nikadhani labda ni mtamu km keki, kuuumbe hauna radha hata!!
nikiula lazima nitapike jamani khaa!! lkn nikagundua hata Kenya, South africa wanakula sana Hii makitu.
Mimi mtanzania !! ila sababu ya utafutaji wazazi yangu wakaondoka jumula kutoka Bongo kuja huku inje ya nchi!! baada ya kustaaf wamerudi huko tena!! kitu nacho furahia watanzania wenzangu wananielewa nikijieleza na nikiandika humu na wanarespond hoja zangu km wewe hivi ufanya,Aisee wewe ni mtanzania?
Mimi mtanzania !! ila sababu ya utafutaji wazazi yangu wakaondoka jumula kutoka Bongo kuja huku inje ya nchi!! baada ya kustaaf wamerudi huko tena!! kitu nacho furahia watanzania wenzangu wananielewa nikijieleza na nikiandika humu na wanarespond hoja zangu km wewe hivi ufanya,
japo mwanzoni ilikuwa taabu zana!! kueleweka mimi!! inaweza kukaa hata miezi sita watu hawajibu nikasononeka sana hivo basi nikazidisha juhudi sasa naeleweka!
KInacho ajabisha ni kuwa kwenye JF watu wana Identity fake sana, karibia yoote!! na iko vizuri tu hawafuati sheria za uandishi kitu hii ni hatari sana kwa Australia na Ulaya km ukigundulika.
hata wachumba humu ziko fake sana, nilidanganywa ooohh! lkn Mama yangu anipa tahadhari sana nikaona ngoja jaribu kwa taadhari pia ... nikakuta oooh! ni kweli! tapeli sana siyo!
But wako TZ wanafunzi huku ng'ambo sometimes wanasaidia ku type! inaenda salama leo nikaona ni type munyewe shauri vengi vako ya masomo, nikaoona oooh! nimeweza!
Niligundua sana hata Mimi waaiona ID yangu fake tu!! siyo mutu sawa nikasema itabaki hivi shauri watu iko namna hiyo watajua iko ivo iko sawa!! TZ uweke sawa hkuna sawa, uweke fake hakuna jua sasa vipi!! si ok!!
akuja ally kufundisha zaidi si ndio!!!!
😀😀Jicho.nilikula jicho sikumoja tu sitakitena.
dahPizza, Burger, Shawarma, beef lasagna, Kaa, mlenda wa unga, Mchunga, Senene.
Imani tuu hiziUkila mchicha sana mchawi hakuoni! ila wewe unamuona na ukila mbegu zake mtu awaye yeyote hakuteti
Kwahiyo hujawahi kula tena huo ugali, you might not be a true African eeh, we ni mzungu?😛Bwanae mimi nilishindwa kabisaa kula kitu Ugali, wa aina yeyote ile ili mradi ni ugali!! mpaka leo nikiuona mwili unasisimka...... nilivokuwa naona watu wanasonsomera kwa kasi na nyama nikadhani labda ni mtamu km keki, kuuumbe hauna radha hata!!
nikiula lazima nitapike jamani khaa!! lkn nikagundua hata Kenya, South africa wanakula sana Hii makitu.
We utakuwa wa ushuaniMimi kuna choroko, mlenda, matembele dah ila ntajaribu tena hadi nizoee[emoji848][emoji848]
Kabichi harufu yake ikiiva kama ushuzi...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ile mboga tunakula tusife walah[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Kabichi ni tamu sana basi tu wengi hawajui kupika.
Nilikua nachukia Kabichi ila sasa natamani kila leo nilile.
Kabichi + wali nazi +maharage nazi + nyama ya kukaanga. Weeeeeee
Either Anatuektia au kaja Africa ukubwani...Kwahiyo hujawahi kula tena huo ugali, you might not be a true African eeh, we ni mzungu?[emoji14]