Chakula gani ulikula mara moja na kwa mara ya kwanza hadi leo hutaki tena kukila?

Hadi naenda Kaburini siwezi kula kabeji Tena labda wanilishe nikiwa sijitambui..
 
mimi soseji zilinishinda kabsaa,, sitawah kula iyo kitu tena
 
samaki nchanga, nlikula nachingwea, nikauliza mbona mishkaki mwekundu namna hii?
 
Kuna jamii moja ya nafaka nilikula ugenini Dodoma, ina ladha kama sukari fulani hivi, aisee nilijihisi kutapika.
 
Choroko nilipata shida sana kuzimeza na nilikua ugenini
Chorokopia mimi hazipandi, na kabichi. Nikiwa ugenini nitakula tu kwa kujitahidi nisionekane mimi namna gani lakini kwakweli sipendi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…