Chakula gani ulikula mara moja na kwa mara ya kwanza hadi leo hutaki tena kukila?

Nilikoma kufuata mkumbo,nilivyoanza kunywa tu niliota vipele mwili mzima Kama nimetambaliwa na duduwasha hapo mwili unawasha sio poa,,sitaki hata kumuona huyo mdudu
Polesana alafu ni watu wengi Kuna watoto wa nduguzangu hai hata wakigusa mchuzi tu wa pweza wanawashwa balaa
 
BOGA MABOGA KIJIKO TU NIKISOGEZA NATAPIKA ILE AHARUFU TOAKA NIPO MTOTO MPAKA LEO NSHASHINDWA...MLENDA NAKULA ILA KWA SHIDA SANA NKIWA UGENINI
 
Maziwa ya kuku
 
Nyama ya Sungura
 
Makaroni nilikula 2004 hadi Leo sijawahi kula tena.

Hayakunivutia.

Pia zule INSTANT NOODLE Hapana kwakweli hayana ladha.

Huwezi Amini nimekula biriyani mara mbili tu tangu nizaliwe na nilikipenda sana hiko Chakula.

Tatizo Niko mazingira ambayo hiki Chakula hawana stimu nacho so hakikipatikani.
 
Una tumbo la kabureta 🤣
Mkuu ikishaitwa nyama nafyeka kama kawa. Nilienda kwa wahadza nilicshindwa kula ni jongoo flani wanakaa kwenye miti iliokufa ila nshaongeza list nyani nyoka na wadudu wengine hata sijui majina yao unakula kitu mdomoni kinafanya kachu kachuu michuzi tu kama mlenda😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…