Napenda ndizi nyama, ndizi kuku, ndizi samaki, wali wa nazi kwa maharage na changu au nguru wa vipande alonona, biriani haswa ya nyama au kuku. Pilau si sana
vya ngano napenda bokoboko haswa la kuku, mikate ya maji, ikifuatiwa na buns then mikate ya ufuta.
Mayai, catles, eggchops,mtabak,msanif na mapochopocho yote yanopikwa kwa masamaki, manyama na mayai.
Napenda vyakula vingi vya sukari hasa vinopikwa kwa maziwa kama pudding, faluda, custard,cheese cake, boga, mumunye, tambi, kaimati, chila, vitumbua nk.
Nisije kusahau na ma pizza na ma burger, na ma hot dogs plus sandwich.
Yaani mi Bulldog na napenda kula vizuri na navijua vyakula.
Usije ukaniletea makande lkn wala dona, siyawezi.
Byeee.
binamu napenda shombo ya samakiHupendi shombo binamu? Vyakula vya shombo sivipendi kinoma. Unakula ukitaka kumkiss mtu unajiuliza mara mbili.
Napenda li ugali likubwa na samaki sato wa kuchoma,vitu vya ngano vyote napenda... mayai na samaki uwiii
Rumye mimi wali na ugali sipendiNapenda li ugali likubwa na samaki sato wa kuchoma,
Ugali dagaa roast
Wali maini
ndizi utumbo
SIPENDELEI
kabichi,
Maharage
kweli mkuu la sivyo utakuwa legevuUgali lazima kwa vidume,chips tunakula basi tu
kweli mkuu la sivyo utakuwa legevu
basi unakula kwa sifa1St time naanza chuo niliteseka sana,urojo et mtu anashiba....!nkatoka hostel ndo mwanzo kupenda life la gheto,tulikua tunapika ugali mkubwaaa
basi unakula kwa sifa
uzee sa hizi na presha na sukar kupimiwa tuHahahahahaha ulikua ujana