Chakula gani unachokipenda na usichokipenda?

Chakula cha unga wa ngano napenda[emoji14]
 
Vyakula vyenye mafuta Na sukari nyingi sipendi Na chipsi nakula tu kwa njaa
 
Mimi nakula vyakula vyote vipikwavyo jikoni kasoro majivu na mkaa tu
 
Duh mi ata sijui napenda nini hasa, ngoj nimuige mtu umu ndani nsije nikaulizwa siku moja nikatoa macho
 
Unafaa kukaa na mm vyoote napendelea
 
Vyakula vyote kanda ya ziwa na vyote vya makete napenda sana
 
Me nakula vyakula vyoot isipokuwa bamia na Mlenda
But kitu kinaitwa WALI MAHARAGE hicho hata kwa dreep ntakula
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…