Chakula gani unachokipenda na usichokipenda?

Chakula gani unachokipenda na usichokipenda?

Mi napenda ugali wa uwele,mtama na mboga ya mlenda kwa maziwa ya mtindi.
 
Ingawa napikia Olive oil kwa kupika kila siku.
lakini si pendi olive kabisa. harufu ya Olive inani
kiaisha. kabisa yaani. nasukuru mafuta yake hayana
harufu ya Olive tunda.

kitu ninachopenda sana tena sana ni jalapenos.
 
Hata Mimi olive zimenishinda kabisa lkn mafuta yake nayapenda sn.

Jalapeños ndio nini?
 
Hata Mimi olive zimenishinda kabisa lkn mafuta yake nayapenda sn.

Jalapeños ndio nini?
Jalapeños ni kama pili pili lakini unaweza kuweka
Kwenye sandwiches au kupikia zina harufu
Tamu kweli.

images
 
Duuuh labda vile nisivyovijua au ambavyo sijawahi kuvionja ndio sivipendi
 
Napenda kula vitu vingi sana kiasi kwamba nisivyovipenda ni vichache. Hii ni kwa vyakula vya kiafrika zaidi sio vile vya kuja na ndege..
Napenda kula papuchi iliyonona hilo ni moja kati ya addicts zangu, napenda bata,wali,maharage,dagaa,kingfish,sato,kuku,mbuzi katoliki,mayai,nyama za ng'ombe,swala,nyati, napenda keki,vitumbua,casava,viazi vitamu,makaroni,chauchau,mzigo wa kuni,bagia, karanga,ufuta,bisi,mayai,burga,vyakula vya dona,maandazi,chapati za kumanina. Yaani vipo vingi hadi nasahau..

Sipendi ndizi za kichaga,nyanya chungu,sembe na makande
 
VYAKULA NINAVYOPENDELEA KULA.{FAVORITE FOOD).
•Vile vyote (VYAKULA)livyohalalisha ALLAH(S.W) na MTUME WAKE(S.AW) nakula.

•Vile vyote vilivyoharamishwa na ALLAH(S.W) na MTUME WAKE(S.A.W) siri hata kidogo.
I love halal foodsubstances.
 
VYAKULA NINAVYOPENDELEA KULA.{FAVORITE FOOD).
•Vile vyote (VYAKULA)livyohalalisha ALLAH(S.W) na MTUME WAKE(S.AW) nakula.

VYAKULA NISIVYOPENDELEA KULA.{UNFAVORABLE FOOD}.
•Vile vyote vilivyoharamishwa na ALLAH(S.W) na MTUME WAKE(S.A.W) siri hata kidogo.
I love halal foodsubstances.
 
MIMI naupenda ugali
ubwabwa kidogo na mboga zozote ila siipendi mihogo hadi sio vizuri
 
Napenda vyakula vingi, ndizi mbichi za kupika na viazi vya kupika sio sana, labda za kukaanga. Mihogo yote ichemshwe, ikaangwe hata kuchomwa, bora iwe ile inayoiva vizuri, napenda sana. Mboga za majani karibu zote, bilinganya no, pweza, miswele, chimbachi, mirindi, na kitimoto big no
 
Back
Top Bottom