Chakula: Kichocheo cha kuimarisha mahusiano mazuri ya familia

Sio kweli bhana, utafiti wenu huo ni uongo mtupu, Kwanzaa Kwa taaarifa yako mkizoeana na watoto wako, heshima hupungua Kwa kiasi kikubwa Sana na kupelekea watoto kukuzoea na kukuona Kama Kaka yao, pia hupelekea watoto wengi kujiingiza katika matukio mabaya Kama vile umalaya, wizi na ujambazi pamoja na uhalifu mwingne, Mzazi Kama baba usizoeane saaana na watoto wako kila Mara mko pamoja had msosi mko pamoja, muache kuiga mambo ya kizungu wale wenzetu wako mbali Sana
Utashindwa kuheshimika na watoto watakudharau na watafanya mambo ya ovyo kabisaaa, ebu fanyeni utafiti hata Kwa watoto wa wakubwa au watoto wa vigogo utagundua, Mzazi hasa baba lazima kuwa na mipaka na watoto wako kwa faida ya maisha ya baadae ya wanao, achaneni na kuwaiga wazungu watoto wa kitzt hawawez hayo kutokana na tamaduni zetu

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi una familia kweli ww au umeandika tu kufurahisha jukwaa?hebu rudia kusoma ulichoandika halafu kitafakari!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante kwa ujumbe mjarabu yaan kama tulikua wote shule.

Hata baba uwe mkali vipi kama mtoto wako Malaya atakuwa Malaya tu, kama jambazi atakuwa jambazi tu, mbona sisi tumelelewa maisha ya namna hiyo na bado tupo sawa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom