Chakula kinaitwa MIX kwa sasa ni uchafu, wabongo tukomae na vyakula vyetu hivi vya waarabu tuwaachie wao

renamaizo

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2014
Posts
2,134
Reaction score
3,064
Nisiwachose let go straight leo nimepita zangu magomen pale sasa kuna kamgahawa nikawa nikawa nasikia harufu ya vitu vzr vzr

Mzee baba nikajisemea leo ijumaa ngoja nijitose maana hapo zamani nikiwa shule ya msingi pale Msimbazi nimekula sana mix pale Boma nakumbuka ulikuwa unawekewa mchuzi fulani hivi kachori kababu nk

Sasa nikasema leo ngoja nikumbushie zile enzi nikaingia ndani nikauliza MIX sh ngap wakaniambia 2500 nikamwambia isiwe tabu leta mzigo

Mgahawa wenyewe watu wengi ni waarabu na wale waislamu swala 5 heeh balaa mix ikaletwa bwana heeh kuangalia tu chakula niliishiwa nguvu kachoro.kababu.viaz.mishikaki.rojo.kachumbar.yai la kuchemsha na vidude vingine vya ajabu ajabu hata sivijui vyote vinechanganywa sehemu moja tena wanevisagia humo humo

Aisee nikasema leo kazi ninayo kucheki waarabu na wazee wa swala 5 wanashuka mix kama hawana akili vzr dah ikabidi nianze kukipekua chakula nikafukuafukua humo ni kala mishikak.na vitu ambavyo havijasagika kama vipande vya viaz, kababu nk

Lkn ndio kwanza nikawa km nimekula robo ya chakula nikajisemea upuuz gan huu kula chakula ambacho nafsi ishakikataa nikaacha nikalipia nikasepa
 
Picha iko wapi?
 
Huwa nachekwa sana ninaposhangaa dunia inahadaa watu kwa uchafu wa kila aina ya vyakula vyenye sumu eti ni utandawazi.

Kuku feki anapakwaa rangi amekuwa ukuta wa nyumba za kuishi au afisi za watu?

Bado na sana nitaendelea kuwa muhenga kwa kula vyakula vya asili, ni heri nionekane mshamba kuliko kuathiri afya yangu.

Sent from my ONEPLUS A3010 using JamiiForums mobile app
 
Kwa Nini Sasa wanevichanganya waambie waache uduslo.
mimi ninesema.
 
Wewe ndo uko na shida

Huo ni mchanganyiko wa virutubisho tofauti tofauti kwa wakati mmoja

Nyama

Viazi

Bajia

Embe

Mayai

Hapo una jumla ya virutubisho vingapi?
 
Zamani...

Nilikula Mix.
(Kwa Hiyo Unaielewa)

Ijumaa Ya Leo....
(Nikapekuapekua na Kula Vitu Visivyosagika kama mishikaki...)

Caption Yako Umedai "uchafu"...baada ya upekuzi wa Hiyo MIX sijaona UKIUELEZEA HUO UCHAFU....

Si lazima Kula Usichokipenda...
Duniani kuna MIX na SOUP za Kila namna kutoka kila mataifa....

Ha ha ha utakuja kuwatapikia usoni walaji wenzako wakutandike makofi😂😂
 
Mbona mix ndo hiyo hiyo ulokula msimbazi... labda umesahau tu
Nisiwachose let go straight leo nimepita zangu magomen pale sasa kuna kamgahawa nikawa nikawa nasikia harufu ya vitu vzr vzr

Mzee baba nikajisemea leo ijumaa ngoja nijitose maana hapo zamani nikiwa shule ya msingi pale Msimbazi nimekula sana mix pale Boma nakumbuka ulikuwa unawekewa mchuzi fulani hivi kachori kababu nk

Sasa nikasema leo ngoja nikumbushie zile enzi nikaingia ndani nikauliza MIX sh ngap wakaniambia 2500 nikamwambia isiwe tabu leta mzigo

Mgahawa wenyewe watu wengi ni waarabu na wale waislamu swala 5 heeh balaa mix ikaletwa bwana heeh kuangalia tu chakula niliishiwa nguvu kachoro.kababu.viaz.mishikaki.rojo.kachumbar.yai la kuchemsha na vidude vingine vya ajabu ajabu hata sivijui vyote vinechanganywa sehemu moja tena wanevisagia humo humo

Aisee nikasema leo kazi ninayo kucheki waarabu na wazee wa swala 5 wanashuka mix kama hawana akili vzr dah ikabidi nianze kukipekua chakula nikafukuafukua humo ni kala mishikak.na vitu ambavyo havijasagika kama vipande vya viaz, kababu nk

Lkn ndio kwanza nikawa km nimekula robo ya chakula nikajisemea upuuz gan huu kula chakula ambacho nafsi ishakikataa nikaacha nikalipia nikasepa
 
Nisiwachose let go straight leo nimepita zangu magomen pale sasa kuna kamgahawa nikawa nikawa nasikia harufu ya vitu vzr vzr

Mzee baba nikajisemea leo ijumaa ngoja nijitose maana hapo zamani nikiwa shule ya msingi pale Msimbazi nimekula sana mix pale Boma nakumbuka ulikuwa unawekewa mchuzi fulani hivi kachori kababu nk

Sasa nikasema leo ngoja nikumbushie zile enzi nikaingia ndani nikauliza MIX sh ngap wakaniambia 2500 nikamwambia isiwe tabu leta mzigo

Mgahawa wenyewe watu wengi ni waarabu na wale waislamu swala 5 heeh balaa mix ikaletwa bwana heeh kuangalia tu chakula niliishiwa nguvu kachoro.kababu.viaz.mishikaki.rojo.kachumbar.yai la kuchemsha na vidude vingine vya ajabu ajabu hata sivijui vyote vinechanganywa sehemu moja tena wanevisagia humo humo

Aisee nikasema leo kazi ninayo kucheki waarabu na wazee wa swala 5 wanashuka mix kama hawana akili vzr dah ikabidi nianze kukipekua chakula nikafukuafukua humo ni kala mishikak.na vitu ambavyo havijasagika kama vipande vya viaz, kababu nk

Lkn ndio kwanza nikawa km nimekula robo ya chakula nikajisemea upuuz gan huu kula chakula ambacho nafsi ishakikataa nikaacha nikalipia nikasepa
Ni urojo sio mix
 
2500 pale airport ni sambusa mbili na uongeze 500,no nilitoa 10000 nikala sambusa 2 na soda nikarudishiwa 1000.piga hesabu alafu sambusa mbayaaaaa
 
Back
Top Bottom