Chakula mixer pombe kali

kunywa bia angalau mara moja kusafisha figo kwa wingi
 
hiyo ndo msosi sasa...sio michips enu ya dar na kibalimi. ngoma inapikwa kwa pombe, maji ya kunywa ni pombe...ukitoka hapo ni kazi kwa kazi, usingizi unakuwa umejifia kifo cha mbu...kofi moja.
 
Mkuu shots 4 si sawa na haujanywa chochote tu
 
Shots nne za vodka huwezi kulewa bwana. Mi mwenyewe nina siku na siku. Kama jana nimekunywa Heineken 6 tu nikawaka. Leo nimekunywa hata sijui ngapi ila niko kitandani mzimaaaaa
Mi uwa nikishapiga bia za kutosha sana...ndio napiga shots uwa zinanisaidia kunirudisha kawaida...nilijifunza hii kutoka kwa my russian ex gf!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…