Blaki Womani
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 11,229
- 13,442
Mara nyingi natumia whisky kwenye kuchoma nyama ya mbuzi inakuwa nzuri unakuwa mwangalifu usizidishe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Thubutu...!
Eti walilewa JD kuchanganywa kwenye nyama kama kiungo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kwa maelezo yako tuu ex bae
Ngoja nikanywe chai hapa
kunywa bia angalau mara moja kusafisha figo kwa wingiTunatofautiana. Kuna mtu akinywa glass analewa mwingine mpaka amalize chupa.
Mimi nashukru sana pombe nina allergy nayo. Nitaumwa tumbo (kama alivyoelezea Mzigua) lakini huwa silewi (anyway..sijawahi kufikia threshold yangu). Aisee nimeshawahi kujaribu kunywa shots nne vodka na niliendelea ku-function kama kawaida. Shida inakuja asubuhi tumbo linauma sana. Vivyo hivyo kwa kahawa. Si nimeshajiamulia zangu mimi maji, juice na chai. Pombe situmii asilani.
AhahahahahahahahHivi hiyo JD
Ni Job Descripton eeh?
[emoji125]
Ukishaweka nikaribishe kulaNgoja niweke ulanzi kwenye mnafu nione itakuwaje.
ha hahaaEx bae ni sawa na muwa, usiufanye walking stick....
Mkuu shots 4 si sawa na haujanywa chochote tuTunatofautiana. Kuna mtu akinywa glass analewa mwingine mpaka amalize chupa.
Mimi nashukru sana pombe nina allergy nayo. Nitaumwa tumbo (kama alivyoelezea Mzigua) lakini huwa silewi (anyway..sijawahi kufikia threshold yangu). Aisee nimeshawahi kujaribu kunywa shots nne vodka na niliendelea ku-function kama kawaida. Shida inakuja asubuhi tumbo linauma sana. Vivyo hivyo kwa kahawa. Si nimeshajiamulia zangu mimi maji, juice na chai. Pombe situmii asilani.
Mi uwa nikishapiga bia za kutosha sana...ndio napiga shots uwa zinanisaidia kunirudisha kawaida...nilijifunza hii kutoka kwa my russian ex gf!Shots nne za vodka huwezi kulewa bwana. Mi mwenyewe nina siku na siku. Kama jana nimekunywa Heineken 6 tu nikawaka. Leo nimekunywa hata sijui ngapi ila niko kitandani mzimaaaaa