Chakula mixer pombe kali

Chakula mixer pombe kali

Wanailoeka nayo
Huu mziki hapana.....

Kuna siku nitajaribu na mimi kuloweka nyama ya mbuzi nipate ladha mpya.....
FB_IMG_1526106595745.jpg
 
hiyo ndo msosi sasa...sio michips enu ya dar na kibalimi. ngoma inapikwa kwa pombe, maji ya kunywa ni pombe...ukitoka hapo ni kazi kwa kazi, usingizi unakuwa umejifia kifo cha mbu...kofi moja.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Mi uwa nikishapiga bia za kutosha sana...ndio napiga shots uwa zinanisaidia kunirudisha kawaida...nilijifunza hii kutoka kwa my russian ex gf!
Mi kudilute pombe nakunywa sana maji. Yani naweza nikanywa maji litre 2 halafu naendelea na keroro
 
Tukiwakaribisha geto huwa ni misosi,mitungi,mikasi!
Inategemea na mahusiano. Mi naendaga kwa rafiki zangu natoka mzimaaa. Sema nikitoka hapo napokea message tu za siamini nimekuacha hata sijakukiss [emoji23][emoji23]
 
Inategemea na mahusiano. Mi naendaga kwa rafiki zangu natoka mzimaaa. Sema nikitoka hapo napokea message tu za siamini nimekuacha hata sijakukiss [emoji23][emoji23]
Hao marafiki ni mafala...washika pembe...hakuna urafiki wa chui na swala...swala ataliwa tu siku iso na jina.
 
Huu mziki hapana.....

Kuna siku nitajaribu na mimi kuloweka nyama ya mbuzi nipate ladha mpya.....View attachment 781298

Hahahah mkuu usiende kuloweka kama vile unafanya 'marination' hahahaha utalewa ushindwe kunyanyuka.

Unafanya kunyunizia tu kila mara unapogeuza nyama yako. Ukitaka kuiweka kama marination (yaani kabla hujaipika) basi usiweke zaidi ya kipimo cha shot moja.
 
Back
Top Bottom