theriogenology
JF-Expert Member
- Oct 7, 2016
- 8,748
- 15,681
Huu mziki hapana.....Wanailoeka nayo
Kuna siku nitajaribu na mimi kuloweka nyama ya mbuzi nipate ladha mpya.....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huu mziki hapana.....Wanailoeka nayo
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]hiyo ndo msosi sasa...sio michips enu ya dar na kibalimi. ngoma inapikwa kwa pombe, maji ya kunywa ni pombe...ukitoka hapo ni kazi kwa kazi, usingizi unakuwa umejifia kifo cha mbu...kofi moja.
Sasa niweke niniUtatapika.
Mi kudilute pombe nakunywa sana maji. Yani naweza nikanywa maji litre 2 halafu naendelea na keroroMi uwa nikishapiga bia za kutosha sana...ndio napiga shots uwa zinanisaidia kunirudisha kawaida...nilijifunza hii kutoka kwa my russian ex gf!
Tukiwakaribisha geto huwa ni misosi,mitungi,mikasi!Kwanini sasa??
Hao marafiki ni mafala...washika pembe...hakuna urafiki wa chui na swala...swala ataliwa tu siku iso na jina.Inategemea na mahusiano. Mi naendaga kwa rafiki zangu natoka mzimaaa. Sema nikitoka hapo napokea message tu za siamini nimekuacha hata sijakukiss [emoji23][emoji23]
Washika pembe hao......Basi nina marafiki wa kiume wengi sana mafala [emoji23][emoji23][emoji23]
Kula...ukishiba baada ya lisaa limoja kapige vitu...utajishangaaInakuaje kuaje. Maana wali samaki ndo chakula changu.
kunywa bia angalau mara moja kusafisha figo kwa wingi
Huu mziki hapana.....
Kuna siku nitajaribu na mimi kuloweka nyama ya mbuzi nipate ladha mpya.....View attachment 781298
Mie nilikua siwezi bia kabisa. Sema nilivyoianza sasa. Natamani kuacha ila haiachiki
hata mimi mwanzo nilisema hivyo hivyo ila at the end nikawa mwalimuYani hata ningekuwa mnywaji, bia isingekuwa kinywaji changu aisee, siipendi ladha yake.