Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Endeleeni kunywa bana, uchumi wetu unawategemea!
Mie nilikua siwezi bia kabisa. Sema nilivyoianza sasa. Natamani kuacha ila haiachiki
Bia tamu asee,sina mpango wa kuacha,niko Katanga huku napiga ma primus na ma skol kwa kwenda mbele, nimemiss Serengeti lagerYani hata ningekuwa mnywaji, bia isingekuwa kinywaji changu aisee, siipendi ladha yake.