Chakula mixer pombe kali

Chakula mixer pombe kali

Mzigua90 mbona hata kachumbari ya kula na kitimoto huwa tunaweka konyagi na bia ndio inachangamka!!!
 
Hapana wala usinishawishi kuzinywa ,siwezi kukaa bar au sehemu nakanywa balimi au eagle nitakunywa bia zingine zote sio hizo
hata mimi siwezi kaa bar nikanywa balimi au eagle ni kama nikienda huko sehemu za vijijini au kama nikiwa hali ya uchumi ime yumba nachukua begi natia balimi zangu huyo nyumbani au naenda sehemu watu wana gonga baliimi na mimi nakaa
 
Back
Top Bottom