Chakula nchini Kenya ni tatizo kubwa

Memento

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2021
Posts
4,423
Reaction score
9,986
Waswahili wanasema "tembea uone", nilifanikiwa kufika Nairobi. Ilikuwa ni issue za biashara

Niseme wazi tu kuwa Nairobi haipo kihivyo Kama inavyozungumza, hivyo kwa wale ambao hawajawahi kufika wala msitishike.

Yote tisa kumi ni chakula, aisee huu mji sijui wanaishi maisha ya namna gani. Chakula ni shida mno kwenye huu mji.

Nikishangazwa nilipoenda kutembelea baadhi ya wenyeji wangu na kunieleza kuwa chakula kwao ni anasa. Watu wengi wanashindia mlo mmoja.

Sasa ni afadhali ushindie mlo mmoja alafu chakula kiwe kizuri, chakula ni Cha hovyo sana hata ule vipi huwezi kusikia ladha.

Kuna siku nilienda mgahawa mmoja nikaagoza wali nyama, hizo nyama zilivyoungwa aisee huwezi kutamani hata kugusa kidogo.

Wali mbaya, nyama mbayaa, nilishindwa hata kuendelea nikarudisha.

Kenya Kuna shida kubwa mno ya chakula
 
There goes another zezetas epic revelation about wali na chakula mzuri coutesy of arab and indians.
 
Propaganda on steroids, fukara unaropokwa tu😂😂😂 Nairobi gani hiyo unaongelea kilaza?, a blind patriot, baada ya ku expose hali kamili ya maisha ya watu wa Dar is slum sasa umekimbia humu na porojo kutafuta kujiliwaza 😂😂😂. mko chini sana, hautogeuza ukweli wewe, ni uchungu lakini itabidi umezoea😂😂😂, This time round uwongo na propaganda tunafumania kila kona., Peleka porojo mbali, Tanzania ni fukara la mihogo na maharage, bingwa la utapia mlo Africa., tafuta mengine kaka, uongo na propaganda wachia CCM govt., imewashika hivi👇👇👇, ata uwezo wa kufikiria hamuna
 
Dar na Nairobi Nairobi imejengeka na miundombinu yake ipo vizur kwenye chakula kuna shida kidogo, sijawai fika hii ni kwa mujibu wa mtu aliyefika huko
 
Dar na Nairobi Nairobi imejengeka na miundombinu yake ipo vizur kwenye chakula kuna shida kidogo, sijawai fika hii ni kwa mujibu wa mtu aliyefika huko
Wandangayinka talking about food is national tradition THEY TAKE IT SERIOUSLY, THERE IS A REASON AND DATA IT HAD TO BE.
 

Povu kama lote. Si ungejaribu basi kuhoji hata alitembelea nairobi ipi, miaka ipi nk nk. Lkn wewe hujatoa hoja hata moja zaidi ya povu. Sorry for this guy to touch your nerves.
🤣🤣🤣
 
Povu kama lote. Si ungejaribu basi kuhoji hata alitembelea nairobi ipi, miaka ipi nk nk. Lkn wewe hujatoa hoja hata moja zaidi ya povu. Sorry for this guy to touch your nerves.
🤣🤣🤣
mbona ni hoji a too obvious hadithi za vijiweni?., mtu ambae amefika Nairobi akiandika utajua, read in between the lines, the tone is flat, the language isn't descriptive, a sign of guess work, an imagination, sounds fictitious, it is just another 'feel good' post ya kujifariji kama ilivyo kawaida yenyu,, a display of inferiority complex.
 
Hawamwagagi chakula hao...wali unaweza liwa mwezi mzima
 
Kuna uzi upo humu unahoji kati ya maskini wa Kenya na masikini wa Tanzania yupi ana nafuu,masikini wa Tanzania anaweza badili milo ya chakula na mboga lakini masikini ya Kenya ni mwendo wa kiveri mwaka mzima,Kenya chakula ni tatizo lakini Tanzania chakula kipo cha kutosha.
 
Hehehehe njaa mbaya sana wajameni [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 

Kunywa maji utajisia vizuri. 🤣🤣🤣
Don't take the JF issues on yourself. Coz most of the news in here are unverified. They are normally basing on personal opinions and intuitions.
 
Boss mbona unaexpose umaskini wako, tafuta hela bro, wacha kukula cheap foods then ulalamike
 
Ungeagiza burger,smokes,sandwich,,etc ndo misosi yao
 
Dar na Nairobi Nairobi imejengeka na miundombinu yake ipo vizur kwenye chakula kuna shida kidogo, sijawai fika hii ni kwa mujibu wa mtu aliyefika huko
Hata kwenye malazi pia kuna shida.
Kwa mfano Dar elfu 50 au 60 unapata master room nzuri yenye ceiling board,rangi wakati Nairobi hiyo elfu 50 unapanga banda la mabati(juu bati,chini bati).
Kiufupi Nairobi wanaoenjoy ni matajiri tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…