Memento
JF-Expert Member
- Jun 13, 2021
- 4,423
- 9,986
Waswahili wanasema "tembea uone", nilifanikiwa kufika Nairobi. Ilikuwa ni issue za biashara
Niseme wazi tu kuwa Nairobi haipo kihivyo Kama inavyozungumza, hivyo kwa wale ambao hawajawahi kufika wala msitishike.
Yote tisa kumi ni chakula, aisee huu mji sijui wanaishi maisha ya namna gani. Chakula ni shida mno kwenye huu mji.
Nikishangazwa nilipoenda kutembelea baadhi ya wenyeji wangu na kunieleza kuwa chakula kwao ni anasa. Watu wengi wanashindia mlo mmoja.
Sasa ni afadhali ushindie mlo mmoja alafu chakula kiwe kizuri, chakula ni Cha hovyo sana hata ule vipi huwezi kusikia ladha.
Kuna siku nilienda mgahawa mmoja nikaagoza wali nyama, hizo nyama zilivyoungwa aisee huwezi kutamani hata kugusa kidogo.
Wali mbaya, nyama mbayaa, nilishindwa hata kuendelea nikarudisha.
Kenya Kuna shida kubwa mno ya chakula