Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nairobi watu wanakula mlo mmoja, pia chakula sio kitamuPropaganda on steroids, fukara unaropokwa tu[emoji23][emoji23][emoji23] Nairobi gani hiyo unaongelea kilaza?, a blind patriot, baada ya ku expose hali kamili ya maisha ya watu wa Dar is slum sasa umekimbia humu na porojo kutafuta kujiliwaza [emoji23][emoji23][emoji23]. mko chini sana, hautogeuza ukweli wewe, ni uchungu lakini itabidi umezoea[emoji23][emoji23][emoji23], This time round uwongo na propaganda tunafumania kila kona., Peleka porojo mbali, Tanzania ni fukara la mihogo na maharage, bingwa la utapia mlo Africa., tafuta mengine kaka, uongo na propaganda wachia CCM govt., imewashika hivi[emoji116][emoji116][emoji116], ata uwezo wa kufikiria hamuna
View attachment 1883382
Ukienda jalalani huwezi kukuta chakula kimetupwaKuna uzi upo humu unahoji kati ya maskini wa Kenya na masikini wa Tanzania yupi ana nafuu,masikini wa Tanzania anaweza badili milo ya chakula na mboga lakini masikini ya Kenya ni mwendo wa kiveri mwaka mzima,Kenya chakula ni tatizo lakini Tanzania chakula kipo cha kutosha.
Yeah..ugali ukibaki unawekwa kwenye fridgeNi kweli, hicho pia kilinishangaza. Hawatupi chakula
Kuna kitu wanaita githeri, ni mchanganyiko wa mahindi na maharage yaani ni kama kande kwa bongo, Ila utofauti kande ni tamu Ila hiyo githeri mahindi magumu maharage magumu, Hawa watu wana shida sanaHahahahaaaaa
Vichaa wa Kenya huwa wanakula wapi? Hasa huyu kichaa muokota makopo MK254 where does he eat!
Povu[emoji56][emoji56]kuuPropaganda on steroids, fukara unaropokwa tu[emoji23][emoji23][emoji23] Nairobi gani hiyo unaongelea kilaza?, a blind patriot, baada ya ku expose hali kamili ya maisha ya watu wa Dar is slum sasa umekimbia humu na porojo kutafuta kujiliwaza [emoji23][emoji23][emoji23]. mko chini sana, hautogeuza ukweli wewe, ni uchungu lakini itabidi umezoea[emoji23][emoji23][emoji23], This time round uwongo na propaganda tunafumania kila kona., Peleka porojo mbali, Tanzania ni fukara la mihogo na maharage, bingwa la utapia mlo Africa., tafuta mengine kaka, uongo na propaganda wachia CCM govt., imewashika hivi[emoji116][emoji116][emoji116], ata uwezo wa kufikiria hamuna
View attachment 1883382
Hahahaaa slum people wote ni vichaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116][emoji116]Hahahahaaaaa
Vichaa wa Kenya huwa wanakula wapi? Hasa huyu kichaa muokota makopo MK254 where does he eat!
Mnakula vizuri ila mnabaki kuwa lazy tu. Tunawashinda kwenye michezo zote.Kuna uzi upo humu unahoji kati ya maskini wa Kenya na masikini wa Tanzania yupi ana nafuu,masikini wa Tanzania anaweza badili milo ya chakula na mboga lakini masikini ya Kenya ni mwendo wa kiveri mwaka mzima,Kenya chakula ni tatizo lakini Tanzania chakula kipo cha kutosha.
Tanzania tumejaaaliwa chakula kingi kwa mikoa mingi, Kenya life lao gumu Sana.
Kenya Wana maisha tough Sana!
" sisi tulioshiba" la, si hivyo tu,cha ajabu inchi injizima ya wadanganyi-ass wanatabiya (national tradition)(Dasturi) kwa physiological obsessed na mambo kuhusu mlo, wali,chakula etc etc. Kwanini?Pamoja na njaa zao ila kwa Olympic hata gold medal wanazo sisi tulioshiba sijuiw tumeshiba mpk tunavimbiwa hata kukimbia hatuwezi.
Wakenya kama umewagunduaw huwa priority zao sio chakula wala mavazi kama sisi.
Nairohi ina tatizo la njaa toka 1978 nafika huko..hii inachangiwa na sehem kubwa ya Kenya kua na ukame
Hayati John pombe magufuli(Rip) RAIS wa ze peoples republica of wadanganyi-ass. Alitangazia dunia kote yakwamba inchi ya wadanganyika yenye rutba 945,087 kmS (Land mass) ina kilaaaa ktu,should be a donor country and seriously wadanganyi-ass lazima wangeuke kama ngiri akila miwa shabani.Sio kweli Mkuu, View attachment 1884860
Kuna nchi ni almost 100% jangwa kama Israel na UAE na zinatoa msaada wa Chakula Kenya.
ni uvivu na uzembe wao. Arable land in Kenya ni kubwa sana sema Tatizo inamilikiwa na wazungu na wanasiasa akiwemo familia ya uhuru kenya.
Ambao wote Hawa wanalima Maua na miraa.
Familia ya uhuru kenya inahodhi ardhi kubwa kutosheleza wakenya milioni 20
Watakula majengoDar na Nairobi Nairobi imejengeka na miundombinu yake ipo vizur kwenye chakula kuna shida kidogo, sijawai fika hii ni kwa mujibu wa mtu aliyefika huko
Hayati John pombe magufuli(Rip) RAIS wa ze peoples republica of wadanganyi-ass. Alitangazia dunia kote yakwamba inchi ya wadanganyika yenye rutba 945,087 kmS (Land mass) ina kilaaaa ktu,should be a donor country and seriously wadanganyi-ass lazima wangeuke kama ngiri akila miwa shabani.
MY TAKE:
Game-over ni mbathi ya kila kitu MAGUFULI ALINUKU, MOJAWAPO EKIWA UZEZETA .
Hahahaaa slum people wote ni vichaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116][emoji116]
Sehemu kama hizi ni kichaa tu anaweza ishi ,wewe jiulize ungekuwa unaishi humo unaweza kuchekana na kichaaView attachment 1884783View attachment 1884784
Wewe Nina uhakika hata kijijini mwako hujawai Toka. I can detect an unexposed person from a mile.[emoji16] hiyo sehem nilifika damu ikasisimka MABANDA panatisha na waoishi huko ni watu walokata tamaa