Chakula nchini Kenya ni tatizo kubwa

Chakula nchini Kenya ni tatizo kubwa

There goes another zezetas epic revelation about wali na chakula mzuri coutesy of arab and indians.
Pikeni wali nyama vizuri, chakula chenu sio kitamu
 
Propaganda on steroids, fukara unaropokwa tu[emoji23][emoji23][emoji23] Nairobi gani hiyo unaongelea kilaza?, a blind patriot, baada ya ku expose hali kamili ya maisha ya watu wa Dar is slum sasa umekimbia humu na porojo kutafuta kujiliwaza [emoji23][emoji23][emoji23]. mko chini sana, hautogeuza ukweli wewe, ni uchungu lakini itabidi umezoea[emoji23][emoji23][emoji23], This time round uwongo na propaganda tunafumania kila kona., Peleka porojo mbali, Tanzania ni fukara la mihogo na maharage, bingwa la utapia mlo Africa., tafuta mengine kaka, uongo na propaganda wachia CCM govt., imewashika hivi[emoji116][emoji116][emoji116], ata uwezo wa kufikiria hamuna
View attachment 1883382
Nairobi watu wanakula mlo mmoja, pia chakula sio kitamu
 
Kuna uzi upo humu unahoji kati ya maskini wa Kenya na masikini wa Tanzania yupi ana nafuu,masikini wa Tanzania anaweza badili milo ya chakula na mboga lakini masikini ya Kenya ni mwendo wa kiveri mwaka mzima,Kenya chakula ni tatizo lakini Tanzania chakula kipo cha kutosha.
Ukienda jalalani huwezi kukuta chakula kimetupwa
 
Nairohi ina tatizo la njaa toka 1978 nafika huko..hii inachangiwa na sehem kubwa ya Kenya kua na ukame
 
Hahahahaaaaa

Vichaa wa Kenya huwa wanakula wapi? Hasa huyu kichaa muokota makopo MK254 where does he eat!
Kuna kitu wanaita githeri, ni mchanganyiko wa mahindi na maharage yaani ni kama kande kwa bongo, Ila utofauti kande ni tamu Ila hiyo githeri mahindi magumu maharage magumu, Hawa watu wana shida sana
 
Propaganda on steroids, fukara unaropokwa tu[emoji23][emoji23][emoji23] Nairobi gani hiyo unaongelea kilaza?, a blind patriot, baada ya ku expose hali kamili ya maisha ya watu wa Dar is slum sasa umekimbia humu na porojo kutafuta kujiliwaza [emoji23][emoji23][emoji23]. mko chini sana, hautogeuza ukweli wewe, ni uchungu lakini itabidi umezoea[emoji23][emoji23][emoji23], This time round uwongo na propaganda tunafumania kila kona., Peleka porojo mbali, Tanzania ni fukara la mihogo na maharage, bingwa la utapia mlo Africa., tafuta mengine kaka, uongo na propaganda wachia CCM govt., imewashika hivi[emoji116][emoji116][emoji116], ata uwezo wa kufikiria hamuna
View attachment 1883382
Povu[emoji56][emoji56]kuu
Ukweli lazima usemwe maisha ya mukenya aki ni ngumu sana tz hapana wesana nayo [emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957] chakula mbovu mbovu wanakulanga .wakati watz ukiwa na ksh 45 sawa sawa na kama tsh 1000 unapata ugali wenye mboga 3 hadi 4
UGALI + SAMAKI + TEMBERE + DAGAA + NJEGERE = TSH1000
 
Hahahahaaaaa

Vichaa wa Kenya huwa wanakula wapi? Hasa huyu kichaa muokota makopo MK254 where does he eat!
Hahahaaa slum people wote ni vichaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116][emoji116]
Sehemu kama hizi ni kichaa tu anaweza ishi ,wewe jiulize ungekuwa unaishi humo unaweza kuchekana na kichaa
JamiiForums-899810741.jpg
gettyimages-141797057-612x612.jpg
 
Kuna uzi upo humu unahoji kati ya maskini wa Kenya na masikini wa Tanzania yupi ana nafuu,masikini wa Tanzania anaweza badili milo ya chakula na mboga lakini masikini ya Kenya ni mwendo wa kiveri mwaka mzima,Kenya chakula ni tatizo lakini Tanzania chakula kipo cha kutosha.
Mnakula vizuri ila mnabaki kuwa lazy tu. Tunawashinda kwenye michezo zote.
 
Tanzania tumejaaaliwa chakula kingi kwa mikoa mingi, Kenya life lao gumu Sana.

Kenya Wana maisha tough Sana!

Pamoja na njaa zao ila kwa Olympic hata gold medal wanazo sisi tulioshiba sijuiw tumeshiba mpk tunavimbiwa hata kukimbia hatuwezi.
Wakenya kama umewagunduaw huwa priority zao sio chakula wala mavazi kama sisi.
 
" sisi tulioshiba" la, si hivyo tu,cha ajabu inchi injizima ya wadanganyi-ass wanatabiya (national tradition)(Dasturi) kwa physiological obsessed na mambo kuhusu mlo, wali,chakula etc etc. Kwanini?
Uzuri ipo data kwanini???
Kiti-mtu si chakula!!!!!!!!!!!
 
Nairohi ina tatizo la njaa toka 1978 nafika huko..hii inachangiwa na sehem kubwa ya Kenya kua na ukame

Sio kweli Mkuu,
IMG_0275.jpg

Kuna nchi ni almost 100% jangwa kama Israel na UAE na zinatoa msaada wa Chakula Kenya.

ni uvivu na uzembe wao. Arable land in Kenya ni kubwa sana sema Tatizo inamilikiwa na wazungu na wanasiasa akiwemo familia ya uhuru kenya.
Ambao wote Hawa wanalima Maua na miraa.
Familia ya uhuru kenya inahodhi ardhi kubwa kutosheleza wakenya milioni 20
 
Sio kweli Mkuu, View attachment 1884860
Kuna nchi ni almost 100% jangwa kama Israel na UAE na zinatoa msaada wa Chakula Kenya.

ni uvivu na uzembe wao. Arable land in Kenya ni kubwa sana sema Tatizo inamilikiwa na wazungu na wanasiasa akiwemo familia ya uhuru kenya.
Ambao wote Hawa wanalima Maua na miraa.
Familia ya uhuru kenya inahodhi ardhi kubwa kutosheleza wakenya milioni 20
Hayati John pombe magufuli(Rip) RAIS wa ze peoples republica of wadanganyi-ass. Alitangazia dunia kote yakwamba inchi ya wadanganyika yenye rutba 945,087 kmS (Land mass) ina kilaaaa ktu,should be a donor country and seriously wadanganyi-ass lazima wangeuke kama ngiri akila miwa shabani.

MY TAKE:
Game-over ni mbathi ya kila kitu MAGUFULI ALINUKU, MOJAWAPO EKIWA UZEZETA .
 
Unaongea lugha gani Mzee?
 
Kwenye chakula east africa Tz itabaki juu msosi wa ma ntilie wa bongo ukiupata hizo nchi nyingine bei yake itakuwa juu mno
Kenya agiza mulima githeri ugali fry & matumbo ugali choma ila ukienda hotel za watu wa pwani (mombasa) kula wali/pilau utapenda
 
Hahahaaa slum people wote ni vichaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116][emoji116]
Sehemu kama hizi ni kichaa tu anaweza ishi ,wewe jiulize ungekuwa unaishi humo unaweza kuchekana na kichaaView attachment 1884783View attachment 1884784

[emoji16] hiyo sehem nilifika damu ikasisimka MABANDA panatisha na waoishi huko ni watu walokata tamaa
 
Wewe Nina uhakika hata kijijini mwako hujawai Toka. I can detect an unexposed person from a mile.
 
Back
Top Bottom