SWALI MANTIKI KWA ZEZETA Saguda47!So much engulfed with njaa in that empty skull!
Nimecheka sanaHahahahaaaaa
Vichaa wa Kenya huwa wanakula wapi? Hasa huyu kichaa muokota makopo MK254 where does he eat!
Waswahili wanasema "tembea uone", nilifanikiwa kufika Nairobi. Ilikuwa ni issue za biashara
Niseme wazi tu kuwa Nairobi haipo kihivyo Kama inavyozungumza, hivyo kwa wale ambao hawajawahi kufika wala msitishike.
Yote tisa kumi ni chakula, aisee huu mji sijui wanaishi maisha ya namna gani. Chakula ni shida mno kwenye huu mji.
Nikishangazwa nilipoenda kutembelea baadhi ya wenyeji wangu na kunieleza kuwa chakula kwao ni anasa. Watu wengi wanashindia mlo mmoja.
Sasa ni afadhali ushindie mlo mmoja alafu chakula kiwe kizuri, chakula ni Cha hovyo sana hata ule vipi huwezi kusikia ladha.
Kuna siku nilienda mgahawa mmoja nikaagoza wali nyama, hizo nyama zilivyoungwa aisee huwezi kutamani hata kugusa kidogo.
Wali mbaya, nyama mbayaa, nilishindwa hata kuendelea nikarudisha.
Kenya Kuna shida kubwa mno ya chakula
Samahani ninapoandika kwa hiyo lugha uwa nipo msalani!!!Hii ni lugha gani, lugha yako ya Afrika inakushinda, endelea kujivunia lugha ya mkoloni.
si heri sura zetu mbaya,za Nyinyi mazezeta Zote zinakaa wamama wa udaku,Everyone is fat and lazy,fat faces with stupid brains🙈Yani mko tu aaaah🚮🚮🚮Ndio maana Wakenya wengi wana muonekano mbaya sana kwa sababu ya lishe duni.
Wanawake kama wanaume, wanaume kama wanyama.
Kila mtu ana sura mbaya.
lugha yako ina uzezeta. Once a zezeta always zezeta.Kwenye chakula east africa Tz itabaki juu msosi wa ma ntilie wa bongo ukiupata hizo nchi nyingine bei yake itakuwa juu mno
Kenya agiza mulima githeri ugali fry & matumbo ugali choma ila ukienda hotel za watu wa pwani (mombasa) kula wali/pilau utapenda
Aahaa zezeta dogo,Unafahamu inchi ya tunisia vizurii?Kwenye chakula east africa Tz itabaki juu msosi wa ma ntilie wa bongo ukiupata hizo nchi nyingine bei yake itakuwa juu mno
Kenya agiza mulima githeri ugali fry & matumbo ugali choma ila ukienda hotel za watu wa pwani (mombasa) kula wali/pilau utapenda
Ni kweli kuna tofauti kubwa ya maisha kwa wasio nacho na walio nacho,sababu ipo ni sera ya ardhi Kenya sera yao ya ardhi ina attract plantation or large scale farming wakati Tanzania ina encourage peasant agriculture,hivyo ni rahisi kwa Tanzania maskini kupata mahali akalima lakini Kenya matajiri wana vipande vikubwa vya ardhi hivyo kunyima fursa maskini.Propaganda on steroids, fukara unaropokwa tu😂😂😂 Nairobi gani hiyo unaongelea kilaza?, a blind patriot, baada ya ku expose hali kamili ya maisha ya watu wa Dar is slum sasa umekimbia humu na porojo kutafuta kujiliwaza 😂😂😂. mko chini sana, hautogeuza ukweli wewe, ni uchungu lakini itabidi umezoea😂😂😂, This time round uwongo na propaganda tunafumania kila kona., Peleka porojo mbali, Tanzania ni fukara la mihogo na maharage, bingwa la utapia mlo Africa., tafuta mengine kaka, uongo na propaganda wachia CCM govt., imewashika hivi👇👇👇, ata uwezo wa kufikiria hamuna
View attachment 1883382
Wewe zezeta, taharuki inchi ya tunisia serekal kuu kama chama cha madudu waltimliwaNi kweli kuna tofauti kubwa ya maisha kwa wasio nacho na walio nacho,sababu ipo ni sera ya ardhi Kenya sera yao ya ardhi ina attract plantation or large scale farming wakati Tanzania ina encourage peasant agriculture,hivyo ni rahisi kwa Tanzania maskini kupata mahali akalima lakini Kenya matajiri wana vipande vikubwa vya ardhi hivyo kunyima fursa maskini.
Large scale farming hiki ni kilimo cha biashara na matajiri wengi wenye huwa na uwezo wa kusindika au maghala ya kuhifadhi mazao hii anafanya wawezee kucontrol bei.
Peasant agriculture ni kilimo cha uchuuzi mkulima akivuna hana uwezo wa kuhifadhi ni lazima apeleke sokoni regardless bei itakayo kuwepo
Conclusion chakula Nairobi kipo ila bei ni juu tena wamepack katika standard nzuri sana ambaye nayo huongeza cost.Tanzania tunachakula bei chini poor package ambapo hongeza unafuu mfano nyama tunakata na shoka wenzetu misumeno ya umeme hivyo kununua 1kg kuna bei ya umeme hapo.
Kwamba Nairobi hakuna chakula ni wazi mtoa hoja alitembelea sehemu ya watu wenye uwezo duni ambao price ime wabeat
Faida ya kukaba adhi inafanya wananchi wawe wanajielewa na jasiri kwenye kudai haki zao kwani full time maisha yao wapo vitani na makabaila na mabepari hivyo wanakuwa na umoja na ushirikiano kwani wanajiona ni victim kwa walionacho ndiyo maana wakenya unainvest zaidi kwenye professionalism,style ya maisha ya Tanzania inaleta uzembe ubinafsi kutokuwa jasiri kwenye kudai haki kwasababu unadanganywa mchicha uliopo Uani na chakula unavyo uza mabibo kwenye matope kama vimetupwa bei chini,Mwalimu anadhurumiwa ila najipanga hope na kahekta alikolima mahindi na kakuku kanampa yai utakuta mjini dar mitaani kuna kuku yote hii hupunguza makali ya maisha
wacha nikueleze, eneo duni in Nairobi chakula ni cheap sana, tena sana., in Nairobi generally food is relatively cheaper kwa sababu all foods kutoka kona zote za nchi na nje zinamwagwa Nairobi kwa sababu kuna soko, watu ni wengi, so with over supply prices zinashuka, challenge ni sehemu gani mtu ananunua vyakula, rent and transport ndio issue mostly, lakini sio food, mleta mada ameandika porojo kiushabiki tu., in the slums, sehemu ya watu wenye uwezo duni, nyama, mboga, samaki etc ni bei rahisi sana than in standard estates., issue ni quality of food stuff sold, kuna risk nyama inaeza kua haijapimwa na watu wa health, vile umesema chakula sehemu duni yanapimwa na packaging kiholela ni same na sehemu za lower income huku Nairobi., msiangalie retail prices ya chakula kwa maduka na supermarkets tu kisha mka conclude.Ni kweli kuna tofauti kubwa ya maisha kwa wasio nacho na walio nacho,sababu ipo ni sera ya ardhi Kenya sera yao ya ardhi ina attract plantation or large scale farming wakati Tanzania ina encourage peasant agriculture,hivyo ni rahisi kwa Tanzania maskini kupata mahali akalima lakini Kenya matajiri wana vipande vikubwa vya ardhi hivyo kunyima fursa maskini.
Large scale farming hiki ni kilimo cha biashara na matajiri wengi wenye huwa na uwezo wa kusindika au maghala ya kuhifadhi mazao hii anafanya wawezee kucontrol bei.
Peasant agriculture ni kilimo cha uchuuzi mkulima akivuna hana uwezo wa kuhifadhi ni lazima apeleke sokoni regardless bei itakayo kuwepo
Conclusion chakula Nairobi kipo ila bei ni juu tena wamepack katika standard nzuri sana ambaye nayo huongeza cost.Tanzania tunachakula bei chini poor package ambapo hongeza unafuu mfano nyama tunakata na shoka wenzetu misumeno ya umeme hivyo kununua 1kg kuna bei ya umeme hapo.
Kwamba Nairobi hakuna chakula ni wazi mtoa hoja alitembelea sehemu ya watu wenye uwezo duni ambao price ime wabeat
Faida ya kukaba adhi inafanya wananchi wawe wanajielewa na jasiri kwenye kudai haki zao kwani full time maisha yao wapo vitani na makabaila na mabepari hivyo wanakuwa na umoja na ushirikiano kwani wanajiona ni victim kwa walionacho ndiyo maana wakenya unainvest zaidi kwenye professionalism,style ya maisha ya Tanzania inaleta uzembe ubinafsi kutokuwa jasiri kwenye kudai haki kwasababu unadanganywa mchicha uliopo Uani na chakula unavyo uza mabibo kwenye matope kama vimetupwa bei chini,Mwalimu anadhurumiwa ila najipanga hope na kahekta alikolima mahindi na kakuku kanampa yai utakuta mjini dar mitaani kuna kuku yote hii hupunguza makali ya maisha
Come and show us! Where's that good food we want!?There goes another zezetas epic revelation about wali na chakula mzuri coutesy of arab and indians.
No, Thanks. You ze REIGNING worldi champions kwa wali na chakula kizuri.Come and show us! Where's that good food we want!?
We utamtishia nani wakati mnashindia mhogoHuku Tz kila chakula utakipata, nimetea mfanl muhogo kwa kuonyesha ni chakula cha hadhi ya chini ila bado kwa Kenya ni tatizo pia.
Nakushauri usije kula wali nyama ukiwa Kenya, utajuta kuzaliwa
Wanaume watz wamefura makalio[emoji1787][emoji1787]Ndio maana Wakenya wengi wana muonekano mbaya sana kwa sababu ya lishe duni.
Wanawake kama wanaume, wanaume kama wanyama.
Kila mtu ana sura mbaya.
Kwani hapo suburb kwenu wali mnautukuza sana?No, Thanks. You ze REIGNING worldi champions kwa wali na chakula kizuri.