Kabisa yaaniChakula ni kipimo sahihi cha kujua ustarabu na tabia ya mtu kabisa
Nenda kwenye mikusanyiko ya watu alafu kuwepo na msosi ndo utajua mfano kwenye misiba, harusini n.k
Watu wanakoseana heshima na pengine kukosana kisa tu chakula
Ndo maana makabila mengine hua yanampima mtu kwenye msosi tabia yale kama ukienda kutambulishwa
Chezea chakula wewe
Kama huna uwezo wa kudhibiti NJAA dunia hii, HADHI na HESHIMA yako itaporomoka sana.Chakula ni kipimo sahihi cha kujua ustarabu na tabia ya mtu kabisa
Nenda kwenye mikusanyiko ya watu alafu kuwepo na msosi ndo utajua mfano kwenye misiba, harusini n.k
Watu wanakoseana heshima na pengine kukosana kisa tu chakula
Ndo maana makabila mengine hua yanampima mtu kwenye msosi tabia yale kama ukienda kutambulishwa
Chezea chakula wewe
Ustaarabu kwa standard za nani?Kula ki ustarabu
Mkuu acha kabisa utamu wa ubwabwa wa shughulini haufananishwi na chochoteAjabu sana.Unakuta mtu mzima anagombea sahani ya pilau ya hitma mtaani wakati anaweza kununua kilo moja ya mchele akapikiwa nyumbani aule peke yake huku kavua shati.Hivi ubwabwa wa shughuli huwa unawekewa nini huko uswahilini?