Chakula ni kipimo sahihi cha Tabia na Ustarabu wa Mtu

holy holm

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2017
Posts
4,793
Reaction score
9,101
Chakula ni kipimo sahihi cha kujua ustarabu na tabia ya mtu kabisa
Nenda kwenye mikusanyiko ya watu alafu kuwepo na msosi ndo utajua mfano kwenye misiba, harusini n.k
Watu wanakoseana heshima na pengine kukosana kisa tu chakula

Ndo maana makabila mengine hua yanampima mtu kwenye msosi tabia yale kama ukienda kutambulishwa

Chezea chakula wewe
 
Kabisa yaani
 
Kama huna uwezo wa kudhibiti NJAA dunia hii, HADHI na HESHIMA yako itaporomoka sana.
 
Ajabu sana.Unakuta mtu mzima anagombea sahani ya pilau ya hitma mtaani wakati anaweza kununua kilo moja ya mchele akapikiwa nyumbani aule peke yake huku kavua shati.Hivi ubwabwa wa shughuli huwa unawekewa nini huko uswahilini?
Mkuu acha kabisa utamu wa ubwabwa wa shughulini haufananishwi na chochote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom