Pythagoras
JF-Expert Member
- Sep 24, 2013
- 2,026
- 5,299
Hahahahahahaaaa!Dah!Mikono juu kuhusu ubwabwa wa shughuli!Kuna kesi huwa nazisikia za akina mama kutoroka na masufuria ya ubwabwa na nyama kupeleka majumbani mwao.Na nyingine:Kuna baba mmoja mke wake akirudi bila kubeba wali WA shughuli anampa kipigo cha haja!Mkuu acha kabisa utamu wa ubwabwa wa shughulini haufananishwi na chochote
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli kabisa njaa sio ya kuiendekeza..Kama huna uwezo wa kudhibiti NJAA dunia hii, HADHI na HESHIMA yako itaporomoka sana.
Hahahahahahaaaa!Dah!Mikono juu kuhusu ubwabwa wa shughuli!Kuna kesi huwa nazisikia za akina mama kutoroka na masufuria ya ubwabwa na nyama kupeleka majumbani mwao.Na nyingine:Kuna baba mmoja mke wake akirudi bila kubeba wali WA shughuli anampa kipigo cha haja!
Dah...mie sijui nimerogwa? Nikienda kwenye sherehe..ukifika muda wa chakula...Moyo hunienda mbio...nakuwa na wasiwasi sana na jasho hunitoka kwa wingi..huwa napenda kuwa wa Kwanza kuchukua msosi....ili nipate nafasi ya kurudia....[emoji41]
Sent using Jamii Forums mobile app
Khaaaa!Ni zaidi ya viroja.Ukimuangalia yule baba hafanani na tuhuma dhidi yake.Hivi wale akina mama wanaopika ule ubwabwa ujuzi wanautoa wapi?Superb!Hahaha sasa unaona? Huyo baba hana uwezo wa kununua mchele? Hakuna kama ubwabwa wa shughuli aisee
Sent using Jamii Forums mobile app
Haha yaani sijui huwa wanaweka vinini aiseeKhaaaa!Ni zaidi ya viroja.Ukimuangalia yule baba hafanani na tuhuma dhidi yake.Hivi wale akina mama wanaopika ule ubwabwa ujuzi wanautoa wapi?Superb!
roho mbayaKuna mtu wa heshima nilishamdharau sana baada ya kugeuka mbogo kwenye ugawaji wa chakula msibani! Nilifuta na namba yake kabisa na kumfutilia mbali.
Sent using Jamii Forums mobile app
HahaaAjabu sana.Unakuta mtu mzima anagombea sahani ya pilau ya hitma mtaani wakati anaweza kununua kilo moja ya mchele akapikiwa nyumbani aule peke yake huku kavua shati.Hivi ubwabwa wa shughuli huwa unawekewa nini huko uswahilini?
Hahaa my ribsDah...mie sijui nimerogwa? Nikienda kwenye sherehe..ukifika muda wa chakula...Moyo hunienda mbio...nakuwa na wasiwasi sana na jasho hunitoka kwa wingi..huwa napenda kuwa wa Kwanza kuchukua msosi....ili nipate nafasi ya kurudia....[emoji41]
Sent using Jamii Forums mobile app
Tena hawa msibani wanakupiga kabisa nilienda kjjn kwetu msiban yaani babamkubwa alichofny aibu tupu yaani walitaka kumfuta Baba mzazi ukooKuna mtu wa heshima nilishamdharau sana baada ya kugeuka mbogo kwenye ugawaji wa chakula msibani! Nilifuta na namba yake kabisa na kumfutilia mbali.
Sent using Jamii Forums mobile app
huyo ni hatari sanaKuna Dingi mmoja kijijini kwetu Ishunju Bukoba.uyo kwenye misiba yeye anajulikana anakwambia kuliko kula sahani moja, bora ashinde njaa maana anajiongezea njaa zaid kwakua ashajulikana . kwenye msiba anatakiwa amtaftie sehemu maalmu ampe sahani zake 4 au tano
Sent using Jamii Forums mobile app
huyo ni hatari sanaKuna Dingi mmoja kijijini kwetu Ishunju Bukoba.uyo kwenye misiba yeye anajulikana anakwambia kuliko kula sahani moja, bora ashinde njaa maana anajiongezea njaa zaid kwakua ashajulikana . kwenye msiba anatakiwa amtaftie sehemu maalmu ampe sahani zake 4 au tano
Sent using Jamii Forums mobile app
Chakula ni kipimo cha ustaarabu kwa mtu
Hapa ningependa kusema kwamba hilo litazamwe katika pande zote mbili za shilingi na maanisha
: kwa Mlaji/mlaji mtarajiwa
: na mmiliki wa chakula hicho
Yaani waweza kukuta mtu ambaye ni mlaji/mlaji mtarajiwa pindi akionapo cha kula roho inamuwewe seka anashindwa kutanguliza nidhamu ya utu wake mbele za macho ya watu " kama ikitokea amekaribishwa sehemu na kupewa na fasi ya kuji sevia mwenyewe atataka kula mpaka asaze ( kumbe wenyewe wana mchora tu ) kuna hawa wengine nao wao kila kwenye shughuli wapo hata kama haina nasaba nao
Tukija upande wa pili wa mmiliki wa chakula hicho waweza kukuta mtu amejaaliwa fursa nzuri ya kiuchumi katika kupitia fursa yake hiyo huwa ana wasaidia rafiki zake /jamaa kadhaa ambao hawaja jaaaliwa kuwa na pesa ya kujipatia mahitaji ya chakula ... ajabu ni kwamba mtu huyo akisha wasaidia ana kaa kando na kuwasema vibaya wale anao walisha (huu sio utu)
Wapo wengine pia wana kula na kusaza lakini jirani zao ambao hawana kitu wanashindwa kuwapa hata karibu 'karibu ni neno la faraja ambalo huwa lina mfanya jirani yako ahisi kuwa una mkumbuka na unauthamini uwepo wake ...
Jamani tujitahidi kubadilika
Sent using Jamii Forums mobile app
duh...aibu sanaHahahahahahaaaa!Dah!Mikono juu kuhusu ubwabwa wa shughuli!Kuna kesi huwa nazisikia za akina mama kutoroka na masufuria ya ubwabwa na nyama kupeleka majumbani mwao.Na nyingine:Kuna baba mmoja mke wake akirudi bila kubeba wali WA shughuli anampa kipigo cha haja!
hahahahahaha...wewe umerogwa na minyoo sio bureDah...mie sijui nimerogwa? Nikienda kwenye sherehe..ukifika muda wa chakula...Moyo hunienda mbio...nakuwa na wasiwasi sana na jasho hunitoka kwa wingi..huwa napenda kuwa wa Kwanza kuchukua msosi....ili nipate nafasi ya kurudia....[emoji41]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji106]Kama huna uwezo wa kudhibiti NJAA dunia hii, HADHI na HESHIMA yako itaporomoka sana.