Chakula ni kipimo sahihi cha Tabia na Ustarabu wa Mtu

Huwa sina amani na sehemu ninayofika kama mgeni halafu ndo nakaribishwa wa kwanza kuchukua chakula (mjini mnasema kijisevia [stupid#!$])
 
Mkuu acha kabisa utamu wa ubwabwa wa shughulini haufananishwi na chochote

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahahahaaaa!Dah!Mikono juu kuhusu ubwabwa wa shughuli!Kuna kesi huwa nazisikia za akina mama kutoroka na masufuria ya ubwabwa na nyama kupeleka majumbani mwao.Na nyingine:Kuna baba mmoja mke wake akirudi bila kubeba wali WA shughuli anampa kipigo cha haja!
 
Hahaha sasa unaona? Huyo baba hana uwezo wa kununua mchele? Hakuna kama ubwabwa wa shughuli aisee
Hahahahahahaaaa!Dah!Mikono juu kuhusu ubwabwa wa shughuli!Kuna kesi huwa nazisikia za akina mama kutoroka na masufuria ya ubwabwa na nyama kupeleka majumbani mwao.Na nyingine:Kuna baba mmoja mke wake akirudi bila kubeba wali WA shughuli anampa kipigo cha haja!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chakula ni kipimo cha ustaarabu kwa mtu

Hapa ningependa kusema kwamba hilo litazamwe katika pande zote mbili za shilingi na maanisha

: kwa Mlaji/mlaji mtarajiwa

: na mmiliki wa chakula hicho

Yaani waweza kukuta mtu ambaye ni mlaji/mlaji mtarajiwa pindi akionapo cha kula roho inamuwewe seka anashindwa kutanguliza nidhamu ya utu wake mbele za macho ya watu " kama ikitokea amekaribishwa sehemu na kupewa na fasi ya kuji sevia mwenyewe atataka kula mpaka asaze ( kumbe wenyewe wana mchora tu ) kuna hawa wengine nao wao kila kwenye shughuli wapo hata kama haina nasaba nao

Tukija upande wa pili wa mmiliki wa chakula hicho waweza kukuta mtu amejaaliwa fursa nzuri ya kiuchumi katika kupitia fursa yake hiyo huwa ana wasaidia rafiki zake /jamaa kadhaa ambao hawaja jaaaliwa kuwa na pesa ya kujipatia mahitaji ya chakula ... ajabu ni kwamba mtu huyo akisha wasaidia ana kaa kando na kuwasema vibaya wale anao walisha (huu sio utu)

Wapo wengine pia wana kula na kusaza lakini jirani zao ambao hawana kitu wanashindwa kuwapa hata karibu 'karibu ni neno la faraja ambalo huwa lina mfanya jirani yako ahisi kuwa una mkumbuka na unauthamini uwepo wake ...

Jamani tujitahidi kubadilika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna mtu wa heshima nilishamdharau sana baada ya kugeuka mbogo kwenye ugawaji wa chakula msibani! Nilifuta na namba yake kabisa na kumfutilia mbali.

Sent using Jamii Forums mobile app
Tena hawa msibani wanakupiga kabisa nilienda kjjn kwetu msiban yaani babamkubwa alichofny aibu tupu yaani walitaka kumfuta Baba mzazi ukoo
 
Kuna Dingi mmoja kijijini kwetu Ishunju Bukoba.uyo kwenye misiba yeye anajulikana anakwambia kuliko kula sahani moja, bora ashinde njaa maana anajiongezea njaa zaid kwakua ashajulikana . kwenye msiba anatakiwa amtaftie sehemu maalmu ampe sahani zake 4 au tano

Sent using Jamii Forums mobile app
huyo ni hatari sana
 
Kuna Dingi mmoja kijijini kwetu Ishunju Bukoba.uyo kwenye misiba yeye anajulikana anakwambia kuliko kula sahani moja, bora ashinde njaa maana anajiongezea njaa zaid kwakua ashajulikana . kwenye msiba anatakiwa amtaftie sehemu maalmu ampe sahani zake 4 au tano

Sent using Jamii Forums mobile app
huyo ni hatari sana
 
Chakula ni kipimo cha ustaarabu kwa mtu

Hapa ningependa kusema kwamba hilo litazamwe katika pande zote mbili za shilingi na maanisha

: kwa Mlaji/mlaji mtarajiwa

: na mmiliki wa chakula hicho

Yaani waweza kukuta mtu ambaye ni mlaji/mlaji mtarajiwa pindi akionapo cha kula roho inamuwewe seka anashindwa kutanguliza nidhamu ya utu wake mbele za macho ya watu " kama ikitokea amekaribishwa sehemu na kupewa na fasi ya kuji sevia mwenyewe atataka kula mpaka asaze ( kumbe wenyewe wana mchora tu ) kuna hawa wengine nao wao kila kwenye shughuli wapo hata kama haina nasaba nao

Tukija upande wa pili wa mmiliki wa chakula hicho waweza kukuta mtu amejaaliwa fursa nzuri ya kiuchumi katika kupitia fursa yake hiyo huwa ana wasaidia rafiki zake /jamaa kadhaa ambao hawaja jaaaliwa kuwa na pesa ya kujipatia mahitaji ya chakula ... ajabu ni kwamba mtu huyo akisha wasaidia ana kaa kando na kuwasema vibaya wale anao walisha (huu sio utu)

Wapo wengine pia wana kula na kusaza lakini jirani zao ambao hawana kitu wanashindwa kuwapa hata karibu 'karibu ni neno la faraja ambalo huwa lina mfanya jirani yako ahisi kuwa una mkumbuka na unauthamini uwepo wake ...

Jamani tujitahidi kubadilika

Sent using Jamii Forums mobile app

hapo umenena point
 
Hahahahahahaaaa!Dah!Mikono juu kuhusu ubwabwa wa shughuli!Kuna kesi huwa nazisikia za akina mama kutoroka na masufuria ya ubwabwa na nyama kupeleka majumbani mwao.Na nyingine:Kuna baba mmoja mke wake akirudi bila kubeba wali WA shughuli anampa kipigo cha haja!
duh...aibu sana
 
Huwa sina amani na sehemu ninayofika kama mgeni halafu ndo nakaribishwa wa kwanza kuchukua chakula (mjini mnasema kijisevia [stupid#!$])

me hua navizia
 
Dah...mie sijui nimerogwa? Nikienda kwenye sherehe..ukifika muda wa chakula...Moyo hunienda mbio...nakuwa na wasiwasi sana na jasho hunitoka kwa wingi..huwa napenda kuwa wa Kwanza kuchukua msosi....ili nipate nafasi ya kurudia....[emoji41]

Sent using Jamii Forums mobile app
hahahahahaha...wewe umerogwa na minyoo sio bure
 
Back
Top Bottom