Chakula ni kipimo sahihi cha Tabia na Ustarabu wa Mtu

Hata mwanamke ukitaka umjue vizuri au rafiki yako mkaribishe chakula.

Kama hana ustaarabu kwenye kula hata maishani hana ustaarabu.
Kweli kabisa wengne wanaficha kbisa kwenye mikoba
 
m
Hata mwanamke ukitaka umjue vizuri au rafiki yako mkaribishe chakula.

Kama hana ustaarabu kwenye kula hata maishani hana ustaarabu.
mkuu true kuna mremb nilimleta home kwenye kula dah ase nikasema hapa safari yetu mwisho mfugale bridge
 
Kweli kabisa sisi kwenye familia yetu ukimwaga chakula,kula chakula kwa kijiko,kubakisha chakula ilihali umejipakulia mwenyewe,au kula chakula ukiwa pekeyako hairuhusiwi
Ikifika muda wa chakula tunakula pamoja wote, labda itokee dharura kwa mmoja wapo
 
Nakumbuka nilipokuwa advance 'girls tu' siku ya kula wali wasichana wengi walikuwa waking'ang'ania ukoko..... Siku hiyo katika kusukumana hapa na pale wakigombea ukoko kuna binti akatumbukia ndani ya sufuria ile 'puuu' miguu juu kichwa chini 'kyupi nje' na mbaya zaidi ukoko ulikuwa wa motoo,,, tangu hapo walipiga marufuku ule utaratibu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio tabia njema kutazamana wakati wa kula
 
Huu sasa ni utani wa ngumi

yaani shuhuli moja kwenda mimi na wewe mpaka umekuja kunianzishia thread humu daah kwahiyo uli mind !!
 

Wewe vp ulikua mstarabu kweli
 
kwamba tunaokula sana au kugombea msosi ndo hatuna ustaarabu!???


acheni zenu nyie wakishua!
 
Hahahahahahah

am better here
 
Halafu unakutana na mtu yeye kwenye shughuli ukifika muda wa kula unamkuta anatoa pilipili ya unga halafu ananyunyizia kwenye sahani yote sasa sijui anataka wenzake tule wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…