Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkuu true kuna mremb nilimleta home kwenye kula dah ase nikasema hapa safari yetu mwisho mfugale bridgeHata mwanamke ukitaka umjue vizuri au rafiki yako mkaribishe chakula.
Kama hana ustaarabu kwenye kula hata maishani hana ustaarabu.
Sio tabia njema kutazamana wakati wa kula
Nakumbuka nilipokuwa advance 'girls tu' siku ya kula wali wasichana wengi walikuwa waking'ang'ania ukoko..... Siku hiyo katika kusukumana hapa na pale wakigombea ukoko kuna binti akatumbukia ndani ya sufuria ile 'puuu' miguu juu kichwa chini 'kyupi nje' na mbaya zaidi ukoko ulikuwa wa motoo,,, tangu hapo walipiga marufuku ule utaratibu.
Sent using Jamii Forums mobile app
HahahahahKuna mtu wa heshima nilishamdharau sana baada ya kugeuka mbogo kwenye ugawaji wa chakula msibani! Nilifuta na namba yake kabisa na kumfutilia mbali.
Sent using Jamii Forums mobile app
HahahahahahahDah...mie sijui nimerogwa? Nikienda kwenye sherehe..ukifika muda wa chakula...Moyo hunienda mbio...nakuwa na wasiwasi sana na jasho hunitoka kwa wingi..huwa napenda kuwa wa Kwanza kuchukua msosi....ili nipate nafasi ya kurudia....[emoji41]
Sent using Jamii Forums mobile app
Maksudi yaaniHalafu unakutana na mtu yeye kwenye shughuli ukifika muda wa kula unamkuta anatoa pilipili ya unga halafu ananyunyizia kwenye sahani yote sasa sijui anataka wenzake tule wapi?