Chakuwahata kwanini hawapambani kujikusanyia wanagama wengi.

Chakuwahata kwanini hawapambani kujikusanyia wanagama wengi.

anti-Glazer

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2023
Posts
291
Reaction score
484
Kuna mvitano mkali kati ya Cwt na wanachama wake. Walimu asilimia mia hawakihitaji hiki chama.

Ni kwa sabab ipi chaku hamuendelei kukusanya wanachama??


Maafisa utumishi pamoja na ded wanapambania serikali Ili ipate sehem ya kujipatia maokoto haramu ya pesa za walimu wetu
 
Chakuhawata hawana nguvu yoyote, maana hata makatibu wao ni walimu Bado Wakigombezwa na wakurugenzi wananywea hata katibu chakuhawata Taifa Bado ni Mwalimu, Sasa wanachama wengi wanakimbia CHAKUHAWATA Kwa sababu ya kupunguza makato ya jambazi CWT.
 
Back
Top Bottom