anti-Glazer JF-Expert Member Joined Apr 13, 2023 Posts 291 Reaction score 484 Oct 8, 2023 #1 Kuna mvitano mkali kati ya Cwt na wanachama wake. Walimu asilimia mia hawakihitaji hiki chama. Ni kwa sabab ipi chaku hamuendelei kukusanya wanachama?? Maafisa utumishi pamoja na ded wanapambania serikali Ili ipate sehem ya kujipatia maokoto haramu ya pesa za walimu wetu
Kuna mvitano mkali kati ya Cwt na wanachama wake. Walimu asilimia mia hawakihitaji hiki chama. Ni kwa sabab ipi chaku hamuendelei kukusanya wanachama?? Maafisa utumishi pamoja na ded wanapambania serikali Ili ipate sehem ya kujipatia maokoto haramu ya pesa za walimu wetu
Yuda Legacy JF-Expert Member Joined Jun 21, 2023 Posts 775 Reaction score 2,772 Oct 8, 2023 #2 BWANA YESU AKUSAIDIE UWEZE KUANDIKA VIZURI NIKUTAKIE SABATO NJEMA
anti-Glazer JF-Expert Member Joined Apr 13, 2023 Posts 291 Reaction score 484 Oct 8, 2023 Thread starter #3 Yuda Legacy said: BWANA YESU AKUSAIDIE UWEZE KUANDIKA VIZURI NIKUTAKIE SABATO NJEMA Click to expand... Sawa mjumbe
Yuda Legacy said: BWANA YESU AKUSAIDIE UWEZE KUANDIKA VIZURI NIKUTAKIE SABATO NJEMA Click to expand... Sawa mjumbe
Prakatatumba abaabaabaa JF-Expert Member Joined Aug 2, 2022 Posts 2,317 Reaction score 7,808 Oct 8, 2023 #4 Chakuhawata hawana nguvu yoyote, maana hata makatibu wao ni walimu Bado Wakigombezwa na wakurugenzi wananywea hata katibu chakuhawata Taifa Bado ni Mwalimu, Sasa wanachama wengi wanakimbia CHAKUHAWATA Kwa sababu ya kupunguza makato ya jambazi CWT.
Chakuhawata hawana nguvu yoyote, maana hata makatibu wao ni walimu Bado Wakigombezwa na wakurugenzi wananywea hata katibu chakuhawata Taifa Bado ni Mwalimu, Sasa wanachama wengi wanakimbia CHAKUHAWATA Kwa sababu ya kupunguza makato ya jambazi CWT.
BABA Dillish JF-Expert Member Joined Jan 20, 2016 Posts 2,608 Reaction score 3,562 Oct 8, 2023 #5 CC:.Shule za Msingi Tanzania