Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 17,047
- 63,206
Tumesikia kuwa Jumuia ya Madola imemtuma Chakwera, rais wa zamani wa malawi kuja kusaidia kuleta maridhiano nchini, Hata hivyo Chawera amekuwa akitoa msimamo kuwa ziwa nyasa lote ni mali ya malawi, mtu wa aina hii asiyeamini hata territorial integrity ya nchi yetu anawezaje kuja kutusuluhisha?.
Ukiachilia mbali uongozi wake mbaya ambao tuliona akinufaisha familia yake, mtu wa hivi ambaye haamini katika mipaka ya nchi yetu anawezaje kuwa msuluhishi wetu?
Kwa maoni yangu ni kuwa Watanzania hawawezi kukubali kusuluhishwa na mtu ambaye haamini kuwa Tanzania haipaswi kuexist ndani ya mipaka yake ambayo ipo kwa mujibu wa sheria za kimataifa..
Unaweza kusoma tamko la Chikwera hapa chini ambapo anadai Ziwa Nyasa lote ni mali ya Malawi.
www.maravipost.com

Chakwera's Inclusive SONA: "Lake Malawi entirely belongs to Malawians, period" - The Maravi Post