Tetesi: Chalamila adaiwa kuhusika na ufutaji wa kipindi Wasafi FM

CDM na Twitter Republic bila ya ‘scapegoat’ mwenye nafasi serikalini kwenye matukio ya nchi hii kwao story uwa ainogi.

Wakitoka kwa Chalamila watatafuta mtu mwingine na kumpa baseless accusations.
 
CCM huwa wanajifanya wana nguvu lakini ni waoga hatari...
 
umbe Wasafi ni local media kama zile za community
Hapana.
Wasafi inaangukia kwenye redio za burudani hata usajili wao siyo kituo cha habari ni burudani, hiki tunachokiona kipo ndani ya 1/10 ya ratiba inayotakiwa kufanywa nao kutoka kwenye kanuni na maudhui.

Community Radio zina uwanja mpana sana wa habari kuliko entertainment radio.
 
Serikali itoe kibali cha maandamano plus mikutano halafu wazuie interview...Mbona mnaaminishwa mambo ya kipumbavu.

Hao wote ni wanasiasa tafuteni kazi za kufanya.
Maandamano hayahitaji kibari wana p ewa taarifa tuu.
 
CCM huwa wanajifanya wana nguvu lakini ni waoga hatari...
Hujawahi ona kelele tu za mwiziiiiii atoazo mtoto mdogo, hutosha kumkimbiza jitu la miraba minne?

Ukishakuwa adui wa HAKI, kamwe huwezi kuwa na confidence.
 
Wanavosemaga waafrika tuna laana, kuna wakati huwa naona kama kuna ka ukweli. Ila hapana sio kweli ni ujinga tu
 
Dakika chache baada ya waziri Nape kukanusha kuwa serikali ya rais Samia haihusiki na kukifuta kipindi cha mahojiano kilichopaswa kuruka leo asubuhi pale Wasafi FM, kuna tetesi kuwa Chalamila anahusika.

Habari kutoka ndani ya Wasafi Media zinadai RC Chalamila ndiye aliyewapigia simu majira ya jioni kuwataka kukifuta kipindi hicho. Na ndipo nao Wasafi Media jana usiku wakampigia Tundu Lisu.

Ikumbukwe Chalamila ndiye aliyetaka kuzima hata maandamano ya chadema ya 24 January 2024 kwa kisingizio kuwa jeshi litakuwa linafanya usafi.

Swali. Kama tetesi hizi ni za kweli. Je, Chalamila siyo sehemu ya serikali ya Samia?
hapana si kweli,
ni chairman mwamba wa kaskazini kafanya kumdispline intruder ambaye ni pippet pia....
 
Dakika chache baada ya waziri Nape kukanusha kuwa serikali ya rais Samia haihusiki na kukifuta kipindi cha mahojiano kilichopaswa kuruka leo asubuhi pale Wasafi FM, kuna tetesi kuwa Chalamila anahusika.

Habari kutoka ndani ya Wasafi Media zinadai RC Chalamila ndiye aliyewapigia simu majira ya jioni kuwataka kukifuta kipindi hicho. Na ndipo nao Wasafi Media jana usiku wakampigia Tundu Lisu.

Ikumbukwe Chalamila ndiye aliyetaka kuzima hata maandamano ya chadema ya 24 January 2024 kwa kisingizio kuwa jeshi litakuwa linafanya usafi.

Swali. Kama tetesi hizi ni za kweli. Je, Chalamila siyo sehemu ya serikali ya Samia?
Naoe and Co wanajaribu kuepusha mfumo kulaumiwa.

Kama wanaheshimu uhuru wa maoni, kwa nini sheria kandamizi zinazopingana na ibara ya 18 ya Katiba hawajaziondoa?

Agizo kutoka juu😅
 
Dakika chache baada ya waziri Nape kukanusha kuwa serikali ya rais Samia haihusiki na kukifuta kipindi cha mahojiano kilichopaswa kuruka leo asubuhi pale Wasafi FM, kuna tetesi kuwa Chalamila anahusika.

Habari kutoka ndani ya Wasafi Media zinadai RC Chalamila ndiye aliyewapigia simu majira ya jioni kuwataka kukifuta kipindi hicho. Na ndipo nao Wasafi Media jana usiku wakampigia Tundu Lisu.

Ikumbukwe Chalamila ndiye aliyetaka kuzima hata maandamano ya chadema ya 24 January 2024 kwa kisingizio kuwa jeshi litakuwa linafanya usafi.

Swali. Kama tetesi hizi ni za kweli. Je, Chalamila siyo sehemu ya serikali ya Samia?
Rais samia nakulaumu, yaani katika watu woooooooooooooooote ulimuona huyu baradhuli kuwa anafaa kuwa RC?
 
Kila mtu ana tetesi zake. Twitter republic wanasema Nape. Maana ndio tabia yake ya siku nyingi kupigia wenye Tv, Radio na online tv kuzuia wapinzani wasioneshwe wala kusikika.
Zuio hili lina sura ya nape zaidi ya Chalamila japo wote ni weupe sana vichwani
 
Dakika chache baada ya waziri Nape kukanusha kuwa serikali ya rais Samia haihusiki na kukifuta kipindi cha mahojiano kilichopaswa kuruka leo asubuhi pale Wasafi FM, kuna tetesi kuwa Chalamila anahusika.

Habari kutoka ndani ya Wasafi Media zinadai RC Chalamila ndiye aliyewapigia simu majira ya jioni kuwataka kukifuta kipindi hicho. Na ndipo nao Wasafi Media jana usiku wakampigia Tundu Lisu.

Ikumbukwe Chalamila ndiye aliyetaka kuzima hata maandamano ya chadema ya 24 January 2024 kwa kisingizio kuwa jeshi litakuwa linafanya usafi.

Swali. Kama tetesi hizi ni za kweli. Je, Chalamila siyo sehemu ya serikali ya Samia?
Swali. Kama tetesi hizi ni za kweli. Je, Chalamila siyo sehemu ya serikali ya Samia?

Dalili za mvua...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom