Tetesi: Chalamila adaiwa kuhusika na ufutaji wa kipindi Wasafi FM

Tetesi: Chalamila adaiwa kuhusika na ufutaji wa kipindi Wasafi FM

Maandamano hayahitaji kibari wana p ewa taarifa tuu.
Kwa mujibu wa katiba na sheria zetu mbovu, kibali kinahitajika. Ndiyo maana jiwe alipiga.marufuku maandamano na marufuku ikasimamiwa na polisi hao hao.
 
Kwa mujibu wa katiba na sheria zetu mbovu, kibali kinahitajika. Ndiyo maana jiwe alipiga.marufuku maandamano na marufuku ikasimamiwa na polisi hao hao.
Magu hakuwa na power hiyo.yule hakuwahi kuwa rais tuanzie hapo
 
Dakika chache baada ya waziri Nape kukanusha kuwa serikali ya rais Samia haihusiki na kukifuta kipindi cha mahojiano kilichopaswa kuruka leo asubuhi pale Wasafi FM, kuna tetesi kuwa Chalamila anahusika.

Habari kutoka ndani ya Wasafi Media zinadai RC Chalamila ndiye aliyewapigia simu majira ya jioni kuwataka kukifuta kipindi hicho. Na ndipo nao Wasafi Media jana usiku wakampigia Tundu Lisu.

Ikumbukwe Chalamila ndiye aliyetaka kuzima hata maandamano ya chadema ya 24 January 2024 kwa kisingizio kuwa jeshi litakuwa linafanya usafi.

Swali. Kama tetesi hizi ni za kweli. Je, Chalamila siyo sehemu ya serikali ya Samia?
Makonda ndio kafanya hayo, sasa anarudi tena kufanya propaganda za kumchafua tena Chalamila.
Wasafi wenyewe washamtaja indirectly Makonda na wanamuogopa yasiwakute ya Roma au Clouds.
Jamaa ni jambazi hasa

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Wasafi wametapeliwa na aliyewapifia simu wao wenyenyee hawamjui inawezekana walisikia sauti tu wakadhani ni mtu fulani kumbe kuna wasanii wa kuigiza sauti
 
Naamini kabisa! Hako kajamaa kana siasa za kizamani Sana, yaani hakabadiliki. Hakana Muda hapo mjini.
 
walihofu hii interview kama ingefanyika.. ingeenda viral sana. kilichofanyika kuzuia kipindi ni fitna au faulo za kawaida za kisiasa tu
 
Magu hakuwa na power hiyo.yule hakuwahi kuwa rais tuanzie hapo
Katiba yetu mbovu haimuwajibishi rais kwa jambo lolote baya atakalofanya akiwa mamlakani. Yuko juu ya katiba na sheria zote. Tatizo linaanzia hapo.

Nakubaliana na wewe kuwa yule alikuwa siyo rais.
 
Wanachadema bhana 😂 Kwahy mlisema ni serikali ya samia then sasa hv ni chalamila 😂 kesho mtasema ni makonda utadhani wote hao sio serikali ya samia
 
Shida hata mkimjua aliefanya hivyo hakuna wakumfanya lolote,
 
Dakika chache baada ya waziri Nape kukanusha kuwa serikali ya rais Samia haihusiki na kukifuta kipindi cha mahojiano kilichopaswa kuruka leo asubuhi pale Wasafi FM, kuna tetesi kuwa Chalamila anahusika.

Habari kutoka ndani ya Wasafi Media zinadai RC Chalamila ndiye aliyewapigia simu majira ya jioni kuwataka kukifuta kipindi hicho. Na ndipo nao Wasafi Media jana usiku wakampigia Tundu Lisu.

Ikumbukwe Chalamila ndiye aliyetaka kuzima hata maandamano ya chadema ya 24 January 2024 kwa kisingizio kuwa jeshi litakuwa linafanya usafi.

Swali. Kama tetesi hizi ni za kweli. Je, Chalamila siyo sehemu ya serikali ya Samia?
Chalamira tutasingizia BURE tu nyamitako AKA bashite ndio kazi yake
 
Serikali itoe kibali cha maandamano plus mikutano halafu wazuie interview...Mbona mnaaminishwa mambo ya kipumbavu.

Hao wote ni wanasiasa tafuteni kazi za kufanya.
Ndani ya hii serikali kuna wajinga na machawa wengi
 
Tetesi za huku mtaani ni kuwa Mbowe ndio ametaka makamu mwenyekiti anyimwe air time sababu hawajajua anataka kuzungumza nini!
Kiwango cha juu cha ujinga ni kama hiki....
Mpo na regime ya 5 ya mwendazake, mind you mpo against Mh. Samia!
 
Back
Top Bottom