Pia tusisahau kuwa huyu binti amefanya kosa la kutembea na mume wa mtu ambapo akishitakiwa na kukutwa na hatia basi lolote laweza mkuta
Na hapo unaweza kuona ugumu wa mambo yalivyo! Akidaiwa Fidia ata ya 500m sijui Kama ataweza kuitoa
Ila Pia waliohusika moja Kwa moja sijui Kama binti anatamani kushitaki na kudai fidia pia kwa matendo ya Kinyanyasi wa kingono aliyopitia
Wajuzi wa sheria na haki za binadamu sijui TLS na Wale wengine sijui LHRC wasihishie kutoa matamko bali waende mbali na kuangalia ustawi wa huyu binti
Waangalie namna gani anaweza kunufaika zaidi kutoka katika hii shida na kuleta fundisho kwa jamii au ujumbe wa moja kwa moja