binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 11,201
- 28,642
Toxic Patriarchal society, Ajabu hata wanawake hawajui kosa la huyo mume wa mtu.Eti kosa ni Binti katembea na mume wa mtu.....na huyo mume na yeye si katembea na Binti wa watu yeye mbona hatajwi kama nimkosaji pia wakati yeye ndiye chanzo.
Huyo afande KU....... Lake hiyo adhabu angempelekea hilo lijanaume lake likafanyiwa mande.