Chalamila afunguka binti aliyedhalilishwa na waliotumwa na afande

Toxic Patriarchal society, Ajabu hata wanawake hawajui kosa la huyo mume wa mtu.
 
We mjinga sana. Sheria gani hiyo inayomkataza???? Yaani hivi vitu vya kijinga sana
 
Acha kupotosha. Hakuna kesi ya kutembea na mme wa mtu. Kitu kingine hata Kama alitembea na Mme wa mtu ndio inahalalisha kubakwa?. Msipende kutetea ubaya.
 
Hakuna Sheria ya kudai fidia kwenye fumanizi zaidi ya kuomba Talaka.hiyo ni matrimonial case na sio case ya Madai ndio maana wahusika wengi uamua kujichukulia Sheria mikononi dhidi ya mgoni wake kama ilivyotokea kwa huyu Binti.
hapana ipo sheria ya kudai fidia ukimkamats mtu ugoni,japo ushahidi wake ni mgumu,ni lazima uwe umemkuta huyo mwanaume,uume wake umemuongia mke,na pia awepo shahidi aliyeshuhudia tukio hilo,hapo ndipo unamkamata mtu ugoni na una haki ya kulipwa fidia
 
Kwani huyo Binti alifumaniwa mpka ujipe majibu ya Moja Kwa Moja kuwa alitembea na mme wa mtu, yale aliyo yasema kwenye Ile video anaweza kuyapindua na kusema kwamba nilisema vile ili kulinda uhai wangu.
 
Una uhakika aliyewatuma ni polisi?.huyu atakuwa mwanajeshi mwenzao.majeshi yote yanaajiri kuanzia form four na kuendelea.huwezi kusema polisi eti wanaelimu kuliko hao ni wote tu wanafanana.
tofautisha. elimu ya darasan na elimu ya kukaa na watu.ukiwa unafanya kazi uraian unajifunza mambo mengi kuliko kufanya kazi ukiwa umejificha. hivyo ni ngumu kujua mengi ysliyopo kwa watu wengi. ndiomaana unaona baadhi ya hata wanajeshi waasi huko nyuma walitumia watoto kwasababu wlijua mtoto akishazoea ukatili anakua mkatili kweli.na ili umtoe kwenye hiyo hali lazima apate malezi na mafunzo upya wa kumtoa kwenye hali aliyefundishwa.
 
Pia tusisahau kuwa huyu binti amefanya kosa la kutembea na mume wa mtu ambapo akishitakiwa na kukutwa na hatia basi lolote laweza mkuta
Kwanini hakufikishwa kwenye vyombo husika vya sheria?
 
Kwan akikana ajawahi kutembea nae wanaushaidi ,pale kwenye video maneno yaliyosemwa anaweza kuyapindua Kwa kusema nilikubali ili kulinda usalama wangu fullstop.
 
Mfano tu lakini ,,


Mwanaume mwenzako akitembea na mke wako utakaa kimya tu ,hutalipa , hutatoa adhabu kali ?
Nikitoa au nisipotoa, hiyo si sheria ya nchi.

Sheria ya nchi ipo.

Huelewi wapi?
 
Mkuu naweza sema matrimonial cases huna ufahamu nazo. Utasemaje case Daawa wakati ushahidi wa fumanizi wa huyo binti kwa mwanaume hakuna? Wewe na mimi tulichoshuhudia ni vijana watano wakimwingilia huyo binti huku wakimhoji naye akijibu kwa hofu ya maisha yake.
Tuache utaratibu wa kijeshi ufuatwe then wakabidhiwe polisi kama raia then mahakama ifanye kazi yake
 
Hakuna Sheria ya kudai fidia kwenye fumanizi zaidi ya kuomba Talaka.hiyo ni matrimonial case na sio case ya Madai ndio maana wahusika wengi uamua kujichukulia Sheria mikononi dhidi ya mgoni wake kama ilivyotokea kwa huyu Binti.
Kwanza nani alimfumania?
 
Kwanza umefanya logical fallacy kwamba mtu akitetea human rights basi ni kahaba.

Una akiki ya guluguja.

Pili, inaonekana wewe ni mmoja kati ya jamii ya wabakaji, ndiyo maana unatetea ubakaji.
Sikuwahi kujua kuwa huyo jamaa ni nungu nungu kichwani kiasi hicho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…