Mwamba anatupa target zaidi... Ila bandari na matanki ya mafuta na gesi tutayafikia kadri wanavokaza24 November 2025
RC ALBERT CHALAMILA MKUU WA MKOA WA DSM ATUMA UJUMBE MZITO KWA WALIOSEMA WATAKATA WATU VICHWA
View: https://m.youtube.com/watch?v=Gv-JhuTHmN4mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam ambaye pia ni mwenyekiti kamati ya ulinzi na usalama ya mkoa inayokusanya wajumbe kutoka jeshi la polisi, uhamiaji, magereza, usalama wa taifa mkoa, magereza, JWTZ amezungumzia... hayo leo jijini Dar es Salaam
Ukiwa upande wa Chura Kiziwi, unaweza kutoa vitisho vyovyote unavyotaka. Ukiwa ule upande mwingine, huwezi kufanya hivyo; otherwise, Mafwele & Co watakupoteza fasta!24 November 2025
RC ALBERT CHALAMILA MKUU WA MKOA WA DSM ATUMA UJUMBE MZITO KWA WALIOSEMA WATAKATA WATU VICHWA
View: https://m.youtube.com/watch?v=Gv-JhuTHmN4mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam ambaye pia ni mwenyekiti kamati ya ulinzi na usalama ya mkoa inayokusanya wajumbe kutoka jeshi la polisi, uhamiaji, magereza, usalama wa taifa mkoa, magereza, JWTZ amezungumzia... hayo leo jijini Dar es Salaam
na alisema watakao kinukisha wajiandae kunuka ni kwa vile tu mashavu makubwa akili ndogo amesahauChalamila ana tofauti gani na anaetaka kukata watu vichwa?
Aliwai kutoa story aliua mwizi kwa risasi kisha akafungua bia baridi akawa anakunywa huku anasubiri vyombo vya usalama.
Ni kukemea tu ILA hawatachukuliwa hatua yoyote ile.Angalau amekemea masheikh wa mchongo, machawa, wahuni, wachochezi wa mauaji.
Sijaona Rais, Makamu wa Rais, Waziri mkuu wa mchongo wakikemea hawa wahuni, wanaotishia kuua wengine.
Inatakiwa wawe jela. Jeshi la polisi kazi yake ni nini, ipi?
Kweli Niffer hakusema atakata kichwa cha mtu yuko mahabusu huyu kwanini hajakamatwa,Huyo aliyetoa hiyo kauli wamemfanya nini?
Kuna watu wana kesi za uhaini kwa kosa la kuuza barakoa na kutangaza kuuza jeans siku ya uchaguzi ila anayesema atakata watu vichwa yupo uraiani anadunda tu.
Ni kweli alikuwa mtu wao ila wakaja kukuta hiyo mbinu imebuma, leo wanakataana.Kweli Niffer hakusema atakata kichwa cha mtu yuko mahabusu huyu kwanini hajakamatwa,
Facts: huyu alikuwa mtu wao walimtuma lkn baada ya misheni kubuma wanamruka kijanja.
Chalamila anazijuwa siasa za akina Mwigulu?24 November 2025
RC ALBERT CHALAMILA MKUU WA MKOA WA DSM ATUMA UJUMBE MZITO KWA WALIOSEMA WATAKATA WATU VICHWA
View: https://m.youtube.com/watch?v=Gv-JhuTHmN4mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam ambaye pia ni mwenyekiti kamati ya ulinzi na usalama ya mkoa inayokusanya wajumbe kutoka jeshi la polisi, uhamiaji, magereza, usalama wa taifa mkoa, magereza, JWTZ amezungumzia... hayo leo jijini Dar es Salaam
Au katekista wa kigangoUngekuta padri ndio alitoa kauli kama ile ungekuta ameshauawa na vijana wa mama